ni swala la muda tu😂
apo Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake🤣
2026-08-02 05:27:49
300
Ocean 🌊 :
a few moments later 😂😂😂
2026-08-02 04:44:17
64
Agness cake :
nataman na mm nikienda kujifungua pawe na vaib
2026-08-02 06:37:16
58
JSM❤️ :
Hapo ni kabla kuna kitu kinaitwa A FEW MOMENTS LATER unaijua ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-02 10:07:32
25
🦋Loyce..gee🦋 :
A FEW MOMENTS LATER ✨️
2026-08-02 08:38:12
9
Hermosa 🦋⚘️👊 :
kwel jmn mana tunatishwa sana🥺
2026-08-01 20:21:33
14
Nayame Store🛍 :
Hii ndo Raha ya changanyikeni😂😂😂,ila vikichanganya hawatakumbukana😂😂
2026-08-02 09:41:10
9
ashrayn :
kuna mie sasa nimelala kule nihoi😂
2026-08-02 07:58:13
23
Maya Kweka :
a few moments later 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-02 05:59:00
2
Am Ginstar🦋💫 :
a few moments later 😂😂😂🙌🙌🙌
2026-08-02 05:19:16
0
neemastaphano :
na mm kabla haujachanganya nilikuwa nacheza kabisa ila ukafika mda wake nikaona kila kitu kizito nikaanza kuimba nyimbo ambazo hata sizijui🤣🤣🤣
2026-08-02 03:15:04
18
🫀💞 H@ry@m Eryd@r🌹 :
his kitu hapaa nyieee nilitembea uchi hospital nzima
2026-08-02 12:24:07
8
Lady Gold :
ngoja nibebe mimba sio kwa vaibu hili
2026-08-02 06:55:26
12
tausi :
mmmmh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 niachen nicheke2 me naitwa salma mohamedy na kanisani sikuwah kwenda hata ila hyo siku nilisali kama wanavyosali waklito tena kama anavyosali mchungaj wakilokole
2026-08-02 06:15:38
6
🦋 pretty nuu :
eti niuoga tu wee ukingia umo hakuna raha jmn
2026-08-01 20:01:29
7
user6625778768762 Annie ❤️ :
Duh waache watupe moyo
2026-08-02 08:56:20
0
Caroline ✨ :
Kumbe huwa wanatutisha tuu eeh 😂😂
2026-08-02 11:23:00
1
BabyJessy :
Niwashauri kwakusimama au kwakukaa
2026-08-02 13:08:29
1
Mamy ashuu🥰🦋 :
labda spital za private wanakup sim ila za serikali hawaruhus uingie na simu
2026-08-02 10:11:35
0
Safia Collection :
😅Mda wa kuchanganyikiwa bado apo
2026-08-02 12:11:19
2
Rachel💖❤️ :
muda bado 😂😂😂😂😂😂
2026-08-02 07:56:21
3
Angel 45 :
hadiraha na mm nataman nije🤣🤣
2026-08-02 09:01:00
4
To see more videos from user @motherchild.hub, please go to the Tikwm
homepage.