🥺natamani nimsikilizishe yani anakusaliti nakurudi rudia bado anakuambia unapenda kushikilia kitu ila nimejifunza mambo mengi ila kikubwa ni kua hakuna mtu anaelewa maumivu alio kusababishia wanaona ni kawaida tu🥺
2026-08-02 07:08:20
27
sophiageorgeuhahu :
Daaa hiyo hali huwa haisahauliki jamani hata ujitahidi vip kusahau unashindwa,
2026-08-02 04:44:20
9
LYKA😜😜 :
At least you know😔.
2026-08-02 18:49:31
1
Wajanta 360 :
Dawa Nikuachana naye tu basii.
2026-08-02 05:13:43
8
Eysher💐🦋 :
Nimegundua wadada tunachitiwa sana kwenye mahusiano ila ssi tunaogopa kuchit 😩
2026-08-03 15:02:15
5
Mtegetah. :
Ukwelii
2026-08-02 04:55:10
3
Sarah Hussein :
2026-08-02 07:59:33
1
CUTE ME💃🥰 :
Yan kusahau ni ngumu mno kwanza uaminifu unapotea kabisa kias kwamba hata akikwmbia niko sehemu flan hata kama n kweli huwez kuamin
2026-08-02 05:54:42
6
Husnah :
ndoninachokipitia nimesamehe ila simuamini tena
2026-08-02 08:46:13
4
Valor96❤️ :
Hiii n kweli ………….
2026-08-02 03:46:08
3
Eagle 🦅 :
ndo yamenikuta sivi hapa najiona sina thamani yyte mm 😭😭😭
2026-08-02 09:50:22
2
user6438422208699 :
mwaka mdogo hvyo miaka ninaenda miaka minne ila ni kama jana na nakumbuka kila kitu
2026-08-02 14:01:56
0
Elune Ritte :
Mm nshachetiwaa mpk nmezoea sasa ila ananipelekaa sehemu ambayoo furahaa isingenifikishaa
2026-08-03 12:41:15
0
Josleen💝♑️ :
KABISA
2026-08-02 07:20:51
1
Ms.liberatha :
Kuna kaka mmoj nlikuw nampend mpk sijiwez kwak ilitokea missunderstanding moja tu na sikumchit yule kak na leo nasema sikumchit I swear to god,na bad anaish kweny akil yangu😢😢 sijui ni nifany kun mda nataman kumpigia sm lkn naogop nampendaaaa sana
2026-08-02 15:32:14
0
Madam love ❤️ :
Kweli kabisa
2026-08-02 08:12:50
1
Husnasweety11 :
na kwann tukae kikao yaan tunasuluhisha nn 😏
2026-08-02 08:30:34
1
fatmabakar0 :
exactly
2026-08-02 04:34:31
1
ashyhotboss :
tena usaliti wa kujirudia ni hatar Sana hatujui Tu,kabla ya kusalit jiandae kuishi bila yy bas
2026-08-02 05:19:25
1
sumaiyastore :
kabisa
2026-08-01 20:04:29
1
priscasultani :
ukwel kabisa kaka huyo uliemtaja hapo ni mm kwa mume wangu
2026-08-02 15:09:18
0
Flory Adrian :
Well said
2026-08-01 17:37:48
0
To see more videos from user @counselor_kibonde, please go to the Tikwm
homepage.