@china_marangi.furniture2: 😢🙏 watafutaji Awachoki Kama maandiko yakivyosema Tafuta sana leo hili kesho iwe njema kwako #shukrani na Ahsante 🙏🫡#ChinaMarangiFurniture

china_marangi.furniture2
china_marangi.furniture2
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 17:29:32 GMT
80619
6825
426
202

Music

Download

Comments

mgalatia96
mgalatia :
brother kaongea fact dah
2026-08-02 07:23:19
0
hamady.wize
Hamady Wize :
family
2026-08-02 04:04:27
1
.msangi
@msangi :
weka namba ya huyo jamaa aokote 👊👊👊,true love from within daah nmeangalia hii video Zaid ya mara 7 true friend 🤝🤝🤝
2026-08-02 06:28:07
0
preciouspurity
preciouspurity :
Men are good people 😭
2026-08-01 23:35:06
2
charlesmsangi2
Nguto :
Brother kwa moyo wa huyo jamaa ungechukua hiko alichopanga kukupa bila kujali hali yake, then kwakua mnajuana ungerudisha zaidi ya hiko.yote ye yote respect sana🫡
2026-08-02 04:35:16
78
_fkgroup
FK GROUP :
Allah amzidishie huyo bro🙏
2026-08-01 22:05:04
4
sappyiyobo2
Sappy Iyobo :
weka namba yake apate mtaji
2026-08-02 00:28:43
77
ayubsalum906
Ayub Salum :
mwakinyo aliwah sema masela wengi Wana utu na hofu ya mungu vita Yao na mungu ni ibada tu.
2026-08-02 03:38:34
230
damkubwa6
Da mamu🇹🇿 :
akuna watu wanaupondo kama Masera 🥰🥰🥰
2026-08-02 03:10:19
47
bakar.beka4
Bakar Beka :
Mm sina mwana
2026-08-02 01:37:15
1
trizakika.laizer
Trizakika Laizer :
Nimejikuta nalia sijui nalia nn😥
2026-08-02 06:00:17
24
tamari.idafa
Mama H :
Kwa ushauri wangu ungechukua tu sababu katoa kwa moyo mmoja atajisikia vby then kaa wiki tu ukikutana nae mpe zaidi ya hiyo sababu unajua hali yake…
2026-08-02 03:50:29
34
the.shakh4
The shakh :
tusio jua tatzo tupo apa
2026-08-01 23:15:04
28
wisdom.varden
wisdom varden :
ili takiwa uchukue hiyo hela imaana kubwa sana ungechukua na namba yake then ungemtumia pesa zaidi siku nyingine
2026-08-02 01:49:15
17
real.camirah
Real Camirah🌸🎀 :
Mungu anipe rafki ata wakunishaur na kunitia moyo
2026-08-02 00:29:27
21
islam86_0
Islam Mchia :
bro mateja nao wanautu repect sana
2026-08-01 18:32:36
35
miamuor2003
PASHAU FASHION :
WAHUNI WANAUPENDO SANA
2026-08-02 06:17:55
8
fadhil.kuga
Fadhil Kuga :
Daaaaa blanzaaa huyooo jamaaaaa Naomba namba zake nimsapoti kidogo
2026-08-02 04:03:35
10
eliaxpatrck
E.l.i.a.x :
Tunge mchangia ata uyu mwanaetu dah😟
2026-08-01 23:05:08
8
sabrina_upepo22
@sabrina_upepo22 :
mbona teja kaniliza na uteja wake lakin ana upendo wallah
2026-08-02 02:05:04
8
emma__rohosafi
Immani :
Daaah uyo mwamba kanitanya mpaka nimetoa chozi kaka uyo ni rafiki sana usiangalie kwa ayo anayoyapitia na alivyo msaidie tu Mungu atakuinua china marafik ni wachache na watakao kuwa na ww kwenye matatizo kaka uyo mwana sana aiseee nimeumia sana🥺🥺 tupendaneni kama binadamu
2026-08-01 23:55:18
17
farnana24
farnana🧸 :
Dah natamni nilie😔😔
2026-08-01 17:47:09
5
andrea.lucas10
Andrea Lucas Andrea :
Bora ungeichukua Baadae ukaja mtafuta ukampa zaidi ya hyo maana pesa km hzo hazkataliw
2026-08-02 00:13:51
5
yunahkondegirl0
yunah konde girl og :
ulipatwa nap shida Gani kaka
2026-08-02 00:35:07
6
dullahmbaundetesr
Dullah Mbaundete Sr :
pole kaka, Uyo mwana wafaida alafu maisha tuu! uyo ni fundi welder mzuri sana kaka
2026-08-01 18:20:48
6
To see more videos from user @china_marangi.furniture2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About