@kijonjojnr: Anatajwa Kuwa ni miongoni mwa wachezaji wenye heshima kubwa kwenye Soka la italia kutokana na Mchango wake na mafanikio aliyoyapta katika mchezo wa soka.. Katika Karia yake ya soka Franco baresi alicheza miaka 20 katika klabu moja tu ya Ac millan akiwa amezidiwa na Paolo maldini na Alessandro Costacurta kwenye orodha ya wachezaji walioichezea Ac millan mechi nyingi zaidi.. #FrancoBaresi #ACMilan #FootballTikTok #Legend #StoryZaSoka