@sudimnette2030: Dafu linauzwa Euro 4, sawa na elfu 12 hapa Bonn, Ujerumani
Mnette
Region: DE
Saturday 01 August 2026 17:45:02 GMT
Music
Download
Comments
ayubuacson :
respect
2026-08-02 17:34:08
0
Altiwany :
mambo ya kawaida hayo ebu tupe bei ya benz c class hapo born na bei yake ikiwa dar
2026-08-02 03:33:56
4
Tisa.. :
kwani huko Bonn hakuna Afro shop?
2026-08-01 19:13:11
1
Ayatollah :
Bingwa Mnette
2026-08-01 17:51:40
2
MR pweza info Quality :
nipe na bei ya izo yebo yebo ni bei gani apo bon?
2026-08-02 17:29:04
2
Pro-humanity :
tupe conection tulete contena 100 za madafu
2026-08-02 05:09:53
3
omary rsinde :
tupo kibada madafu nimengi sna
2026-08-02 14:44:37
0
Moraka :
Kuishi huko kwa mimi ni kama kuishi jehanamu.
2026-08-02 05:55:55
0
Juma mwangwa :
sud mnette
2026-08-02 16:35:40
0
carview5 :
nikileta madafu mtanunua?? tatizo
2026-08-02 09:55:48
0
homosapien :
kuipata 12k hiyo ujerumani si sawa na kupata jero tz. jero bongo mziki
2026-08-02 13:07:18
1
𝕄𝕓𝕦𝕪𝕦 𝕁𝕦𝕝𝕪 𝟚𝟡 :
Hata hku Tz kuna sehem watu wanauza kwahy bei
2026-08-02 10:44:19
0
kindamba jr :
akati uku efu1
2026-08-02 08:12:27
0
Aliy Issa mazruy :
Mr Sudi Mnete
2026-08-02 05:48:04
0
Hussein Daud🇹🇿🇨🇭 :
Yaan ulaya pesa unaipata sana na matumizi yapo juu. But tundish no way. miaka zaid ya 7 hapa Uswisi sijawah pata dafu jmn
2026-08-02 07:50:09
0
seif miskry :
sawa bro
2026-08-02 07:16:36
0
manmkongo881 :
kaka sudii kwema
2026-08-01 22:17:48
0
Babu Yaa :
napenda kukusikiliza kwenye radio
2026-08-02 02:54:38
0
ngosha :
Japan crown athlete ni dollar kuanzia 2000 mpaka 5000 used ila huku kwetu Tanzania huna dollar 12000 Hadi 15000 utavimba miguu kutembea
2026-08-02 09:10:55
0
Steven Mwakilema :
Ndiyo mana mna shauriwa maisha n nyumban kwako Tanzania furaha yote ipo hapa
2026-08-02 06:50:49
0
Mashak :
wew mtafute dudubaya kuna vinasaba😅
2026-08-02 14:30:05
0
khamis :
duh hapa kwangu nje tu mnazi kitamli upo navuta tu bure
2026-08-02 04:04:27
0
Said Said :
😅😅😅
2026-08-02 05:20:38
0
dast54?? :
😁😁😁
2026-08-02 10:04:32
0
To see more videos from user @sudimnette2030, please go to the Tikwm
homepage.