This is the rule I keep telling myself never let life take you by surprise always be prepared, this statement I said to myself was made me started investing
2026-08-01 21:57:43
1
Jojo boy :
thank you my brother 🙏🏻
2026-08-01 23:08:34
2
jumbe_erick@ :
Accept it
2026-08-02 05:57:31
1
Brown :
kwel brathor
2026-08-01 22:17:35
1
anonymous_user :
facts champion 🤝
2026-08-01 19:47:07
2
d.e.v.v.y🫰 :
Fact kaka🙏
2026-08-01 20:16:21
1
amirmuhidin5 :
Umenigusa sna bro mungu akubarik sna kwa elimu hii kwa sasa napata shida sna na haya madeni ya riba
2026-08-02 18:49:34
1
Engineer🎓@B (electrical⚡💡 :
Swala la mkopo inafatana umekopa taasisi ipi, kwa riba ipi na kwa muda upi wa marejesho
kukopa kwa Marengo na nidhamu kunakufanya kutimiza malengo kwa muda sahihi na kuishi kisasa zaidi.
maisha Yako ni jukumu lako{ risk taker for beyond future 🌄💡
2026-08-02 10:23:30
4
RCGAIAN :
nimejifunza kitu champion mungu akubariki akupe maisha marefu 🤝🤝🤝
2026-08-02 17:37:13
1
Malenya Tz :
🔥🔥🔥Fact
2026-08-02 05:07:28
3
pou masta :
sahihi kk
2026-08-01 18:11:54
1
King Shinyichi :
braza me uwa nakukubali sana bro dah 😥
2026-08-02 06:29:55
1
Aqua Vibe 7 :
champion
2026-08-01 18:09:50
1
Samweli Matelu :
,mikopo inaturudishsnyumasana
2026-08-01 23:06:17
1
Islam :
iyo ya mwisho kaka imenigusa pamoja sana kk
2026-08-01 21:08:29
1
MR.DUNGA :
kwel brother sasa kama umesh kopa ufanyaje...
2026-08-01 18:57:39
2
@dreambigabrah :
True champion pamoja 👊👊
2026-08-01 19:00:27
3
MAIKO DIARIES :
Barikiwa😅
2026-08-02 05:04:55
2
peter niyonzima :
hiyo nikweli kabisa
2026-08-01 19:11:24
2
Jafari Buheti :
champion kk nashukul sn nimejifunza vingi Toka kwak
2026-08-02 05:11:59
0
DR.SHABENGA :
nakufatilia Sana bro!!! en vijana wanatakiwa kukusikiliza,,, tulio wengi ni wale ambao tunashindwa kuizia nafsi na neno SUBRA,, mtu akiona hana kinu Hana option nyingine anawaza mikopo ndio plan B,, this is disaster for Youth. God bless u Man.