@abdul.machine8: @Safari ya Imanuel Mlefu kuelekea Uturuki. From Sauti Para Sc. To Yeditepe Khalid Msabaha ni mmoja wa Waandishi anayefanya kazi kubwa katika kuutangaza mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu nchi Tanzania (Amputee Football) #MGUU UTAONGEA