Zuchu alikua anafuraha alipokuja dimond tu kama alimtoa mood
2026-08-02 03:28:12
258
Zia❤️ :
Yan yule jonasi me mwenyewe nlivomuona nlichukia😂
2026-08-01 18:54:48
318
🌹🌹🌹 :
jamn Jonas ndo nan tuambizane 😳
2026-08-02 10:53:11
1
Fetty :
yaan unaongea harakaharaka had raha
2026-08-01 20:55:48
153
madam Gee🥰 :
nlichogundua zuchu anapendwa jamani 🥰🥰🥰nampenda zaidi
2026-08-02 10:09:33
46
anne ᥫ᭡ :
Ila diamond🙌🏽. I hope Zuchu ataweza kumove on cause the guy doesn’t deserve her jamaa senge sana yule
2026-08-01 23:08:27
81
shanii OG :
yaan nikikuona tu natulia kwanza nikusikilize😀😀
2026-08-01 18:53:33
49
miss gall🦋 :
kutoka kwnye mume wangu yenye mbwembwe mpk baba mtoto wangu unaona mchezo eeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
2026-08-01 21:16:19
70
@Suuh574🫂❤️ :
Jonas wa bongo😂
2026-08-01 19:52:52
27
Mamu💞🦋 :
BWANA NGOJA NIKUFOLLOW😅😅😅😅 NIMEKUPENDA🥰🥰
2026-08-02 16:26:25
8
agnespeter858 :
Jonasiii
alivyoingia tu babe Zuchu
2026-08-02 10:39:04
5
muddy tepha :
weee dada mbaya jamaniii
2026-08-02 12:10:30
5
Brittania Grace💋 :
Dhana potofu😂ah nimekupenda bure
2026-08-02 07:30:15
5
miss h@99Y :
dada nimekupenda sana unajuwa kuwasilish umbea
2026-08-02 03:43:02
18
Divine cakes 🎀🌸💐 :
Sio wote wakiwa na mimba wanabadilika em tuacheni negativity
2026-08-02 04:34:21
5
Latty Rashid :
yan kamaulikuwepo yan alivyo kuja diamond 2 hamu ikaniish
2026-08-02 08:00:30
8
Queen@kkB❣️💕 :
mimi nimeolew na mume wangu familia ikinipenda manshallah isiponipenda inshallah watanipenda mbele kwa mbele😂😂😂, da zuu sisi twampenda sana tyu
2026-08-01 22:11:54
24
Bry_milips :
Yan sijapenda pale kajua mtoto pekee yake kalia mwenywe hakuna ata wakumhug sijapendaaa kabisaa ila uyo ndo a boy from tandale.. kuna watu wanasema akianza kunyonyesha Jonas anarudi na matukio
2026-08-01 21:56:58
41
Miss Desgner 💫💫 :
Yani pale Zuchu ni vile tyu atafanyajee ila alitaman Diamond(Jonas) asingekuja paleeee
2026-08-02 09:38:37
5
To see more videos from user @missvicky005, please go to the Tikwm
homepage.