@makinisale: Replying to @Jamesautoparts_tz

Makini
Makini
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 18:44:56 GMT
106289
2161
97
117

Music

Download

Comments

abuuaydah
dandy :
Bei ikoj
2026-08-01 21:18:49
0
athumaniijuma
323tz🇹🇿 :
how much
2026-08-02 12:11:23
0
faithmussa9
faithmussa9 :
Nipate hicho then nipate na nyoka wangu mmoja wakuishi umo, safi kabisa
2026-08-01 20:51:43
21
azzwrld_
azzwrld :
Nahitaji ila pembeni kuwe na matundu ya hewaa pamoja na cable ya usb
2026-08-02 10:46:15
19
_130milimeter
blessings :
Weka njia za hewa maana ukiweka mtu humo dakika tu ataomba kutoka mwenyewe 😊
2026-08-02 06:03:50
9
camanda3
NASSORO :
2026-08-02 13:44:11
0
jonas.kitatu.jich
Crane / equipments Tanzania :
430,000 pamoja na godoro au?
2026-08-01 22:14:39
3
issaburgertz
issaburgertz :
Nauliza kati ya hiki na chenye chaga kipi bora mana hakina chaga si godoro linakua halibonyei bonyei sasa mgongo si utakua unauma au inakua vip wakuu
2026-08-02 11:04:23
0
cctv_tanzania
SANNET_TECHNOLOGY :
Bei gani ? Icho kitandaa kitaramu kinaitwa kitanda kabati
2026-08-02 13:56:31
0
ellybryzz
Bryzz 👑 :
Mamaee kaka lazima nikuonee maana mke wangu ananiotega sanaa kama kachawii.. Ngoja niongee na mshangazi wangu nimwambie tushaa pata suluhisho 😜
2026-08-02 10:20:40
0
tariq_1213
Tee :
Hahahaha dah watu wabunifu sana😅😅
2026-08-02 07:46:45
0
zan_perfume01
Zan_Perfume 🌸 :
kwely kuzur bei gn
2026-08-02 14:19:36
0
jay.junior74
Jay Junior🔞 :
🔥
2026-08-01 20:45:26
1
fey_king
YAMAGUCH TZ🥏 :
sitaki kesi ya mauwaji mm😅
2026-08-02 09:47:53
1
why.not7769
Why not..!! :
bei gani
2026-08-01 20:08:08
1
dinnacollection0
Dinna collection :
Na upo wapi
2026-08-02 13:04:04
0
moussablackson
Moussa199..🇰🇪🇹🇿💤🇺🇸 :
hiki shngap
2026-08-02 13:14:46
0
raji.b40
Raji B :
ila ubunifu😂😂🤣
2026-08-02 13:32:38
0
youngmdachi3
youngmdachi3 :
mkionyesha hivi mnatoa password ss
2026-08-02 10:52:28
0
rednecar_jr
Rednecar jr :
shingapi
2026-08-02 11:56:00
0
masheyn_perfume
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
naitaji hii
2026-08-02 14:41:32
0
buruma73
NGOSHATZ🇹🇿 :
bei gani?unapatkana wapi
2026-08-02 14:14:40
0
titus.samuel.tupa
Titus Samuel Tupa :
Hiyo sijeneza ya Siri😅
2026-08-02 12:50:48
0
user9962552224234tumain
Mr wali nazi :
nice
2026-08-02 12:25:11
0
erick.mushy
✝️MR :ERIC 🤍MUSHY. 🏹 :
Mtuu makini
2026-08-02 06:48:05
0
To see more videos from user @makinisale, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About