@doubletwentyfour24: #creatorsearchinsights #tiktoktips #100000Flowers #double24updates

Double 24
Double 24
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 20:54:23 GMT
169651
13136
563
2718

Music

Download

Comments

aishaseiphramdhan
🎀~miss Aisha🦋 #from 🇹🇿❤️❤️ :
shida sio kukutemea shida moyo wake umeridhika kukutambikia hivyo ?
2026-08-02 04:51:46
283
lizzywolfgang
Elizabeth Geo🏆 :
mamangu hana shida babangu aweee ataita kikao cha ukoo aseme nimekua mwanga😂😂😂
2026-08-01 23:21:07
179
judithmollel
judithmollel0 :
Yan maisha magumu tunayopia n wazaz wetu ndo sababu😭😭 yan mzaz ukimkosea kdogo tu anakupa laana😭😭😭 ukiwa unampa pesa sanaaaa ukija kuacha kumpaaa anakupa laana yan hajui na ww unaweza kosa😭😭😭😭
2026-08-02 05:54:56
66
officialmimah3
mimah_49 :
😂😂 Kwa babaangu apana sijawahi kumuamin Yule Mzee
2026-08-02 06:47:32
39
craah07
Craah :
sisi ambao hatuna mama na baba tufanye vipi??
2026-08-02 07:39:48
16
diah_ree
Dīāh Rēē💕🦋 :
Tusiokuwa na baba nao🥺
2026-08-02 01:47:20
18
madishine_1
MAMA OKYOU ( OYKU) 🧿 :
Nakam una mzazi umoja?
2026-08-01 21:13:05
30
han.mohiny.2
Mohiny 2💕🥀💕........ :
😂😂😂😂😂😂 Shekeeee so wazazi wanguuu Hawaweziii
2026-08-02 05:49:57
13
acarelesswomen
careless women🤭🍀 :
wacha niichukue hii video nikamuoneshe mama maan nikimwambia kwa mdomo atanambia nimeanza ushirikina😂😂
2026-08-02 07:13:47
7
gift30017
Gift 🍭 :
Wengine hatuna mzazi hata mmoja🥺
2026-08-02 05:37:18
9
frola.ghandai
Frola Ghandai :
sina baba nina mama mama naye mlokole atasema ushirikina
2026-08-02 04:55:07
9
iam_jimmy_alhisha
Jimmy Alhisham :
Mambo ayoooo.. 🔥🔥🔥
2026-08-02 05:42:09
1
nell__ah_
Nene💕 make up💄💋 :
Miss u mama🥺🥺
2026-08-02 04:49:30
0
ramadhan.yahya7
Akamacho or Akamiko :
aweeeee
2026-08-02 07:26:33
0
queenlione17
Queen Leo :
usijali kipenzi, ,,,huu mwezi ugeuze kuwa mwanzo wako mpya ....toka nje jua likiwa limewaka ongelesha hilo anga likusaidie kunyonya huo uchungu,, usiku toka tizama mbalamwezi iongeleshe ibebe huo uchungu☺️☺️walkshi utapona trust me,,,ukitembea iambie ardh inyonye huo uchungu...
2026-08-02 07:22:20
8
marthayasini
Martha Shempemba :
RIP my mom and my dad
2026-08-02 02:57:22
0
dinnahriz1
dinnahriz1💕 :
I understand that feeling, Mayb God bless us & our family Amin🤲
2026-08-02 06:10:17
0
.bj1402
Jackline 🥀 :
Ngoja niwatemee wanangu wakiwa bado wadogo 😂
2026-08-02 07:01:40
5
yamalyamn
YAMAL 2004 :
mi kiukweli mze yupo lakini sijuii namuazaje kumwambia ilo mana KUNA BABA NA BABA ANGU MIMI ✍️
2026-08-02 02:16:46
8
fahaa53
Fah :
Mayatima tutatemewa nani 😭😭😭😭ALLAH atupe subra Alhamdulilah 🤲🤲🤲
2026-08-02 09:51:41
2
neymalovie
neymalovie🌸 :
Kama umamzazz mmoja?
2026-08-02 08:59:35
1
miss.enea4
🦋 ene🦋 :
kwasisi tulio kuwa na mzazi moja inakuwaje
2026-08-02 09:35:39
0
aggyaggy120
aggy💘💘 love :
wazazi ni pesa kama huwapei pesa wewe jua tu uko na mungu
2026-08-02 07:56:41
0
amida47331
amida :
Mungu wangu eeeee 😭😭😭😭😭
2026-08-02 04:31:12
0
ummu.beautys
Swaumu zai :
Wengine hatuna wazazi wote wawili
2026-08-02 08:30:52
0
To see more videos from user @doubletwentyfour24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About