@mamasuda01: 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mama Suda Og
Mama Suda Og
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 20:59:17 GMT
140874
14033
449
505

Music

Download

Comments

jayjoe.magembe
jayjoe magembe :
huyu mtoto ni kama namlea mimi mana anakuwa mkubwa humu humu kwenye simu yangu 🤣
2026-08-02 06:51:03
61
lizy.cute3
lizy cute :
suda anafurahisha kama yuko upande wako
2026-08-02 05:40:47
89
user2844392502286
G 👾killer👾155🌟 :
mtoto anakela uyu😂😂😂😂
2026-08-01 23:04:46
66
ummyzayn8
swaum :
suda anakera kama sio wa timu yako🤣🤣
2026-08-02 05:19:52
40
da10954
da b.m :
suda chukua mauwa yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
2026-08-01 21:07:23
68
robertedward820
Robert Edward :
baby olli nachoka mm
2026-08-02 03:19:02
1
pagilufega5
pagi lufega :
poapoa
2026-08-02 03:05:45
1
kauthali.issa
Kauthali Issa :
mbona baby olie
2026-08-01 22:24:27
1
jumaramadhanirama1
Jumaramadhani Ramadhani :
kwer kaz wanayooo
2026-08-02 01:50:05
1
saved1125
Saved :
Duuuuh ila hyo first Eleven aliyotaja dogo 🔥🔥🔥🔥
2026-08-02 00:04:15
2
is.norton
Morant :
star boy baby olly
2026-08-01 23:51:42
0
sophia.juma950
Sophia Njeru :
mi Niko bize na jino lako mtangazi wangu🥰🥰🥰
2026-08-02 09:14:53
4
mudatthir2
mudatthir sleiman TZ :
dogo unajua ady unakela
2026-08-02 03:54:33
33
hilme215
Ray&nawal :
umekua many MashaAllah utakuja kua mtangazaji wa mpira wewe 🥰🥰🥰
2026-08-02 03:19:14
11
frolah452
🎀FLORAH💫🔐❤ :
unaonge kwamoyo wako wote adi laaah umenifraisha🥰💚💛💚💛
2026-08-02 05:54:59
13
user9347378247100
zenakibali :
Chukua maua yako💐💐💐💐💐
2026-08-02 03:44:35
8
wasafy.classic.bab
wasafy classic baby :
jmn aka katoto tukapendege tu 🥰🥰🥰 aka mabaya Yani adi uyu mtoto anajuwa kama Simba wanakunya adhalani 😂😂😂😂
2026-08-01 22:49:27
6
sekela59
sekela :
ila suda nakupenda Bure mdogo wangu💚💚🤍🤍
2026-08-01 21:18:20
13
chrics45
KING Chŕîṣ̌ş :
Nakubali sudaaah
2026-08-01 22:21:55
5
user7278315263351
user7278315263351 madobe :
ww mtt unawaumiza akil watan wako acha kuwapa pressure watashindwa kuleta timu tarehe 12 acha bas
2026-08-02 02:18:33
8
user433943233
John Z :
Duke Abuya hawezi kubaki nje
2026-08-02 03:40:47
6
jumaadam31
jumaadam :
asant san
2026-08-02 02:53:39
2
To see more videos from user @mamasuda01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About