Madobe 0g :
sema watu wanamanishaa Tu ila huo ndo uhalisia wa mahusiano kipi kibaya hapo Hadi tunafac kwa coment za huyu ,, ety ushamba haaaaa🙆🏽🙆🏽🙆🏽🙆🏽,, baba mapenzi upof jmni ,na mitandao zaiz imekuwa kama move Tu,, mbona move tuna angaria na action kama hizo ,what????? au kwa kuwa jamayangu siyo malufu ndomaana tuna ponda,,,??? is not true guyx,,
2026-08-03 09:07:30