ukimaliza uwezi pata muda wa kuangalia video zingine unawaza kula viapo kuwa Leo ndio mwisho sitarudia tena ila kesho asubuhi unakopa bundle tena
2026-08-02 14:52:10
1677
Løůie :
na ukisema utafute nzuri zaidi bando linaisha unakosa vyote
2026-08-02 18:07:49
686
Zaisha Dimpoz :
Mbona nimeelewa haraka jamn😂😂😂
2026-08-02 12:33:41
608
Sai_mox😈 :
kuna mda unakuwa hutaki umalize hadi uipate nzuri😹😹
2026-08-02 17:57:07
529
Ndaggy92 :
Mlioelewa nachukua majina yenu😅
2026-08-02 10:42:04
555
mutatus :
Internet inasumbua sumbua unaamua kutumia picha iyo iyo japo haiplay
2026-08-03 07:58:29
230
Dee 😊 :
Malegend tumeelewa mapema mno 😅😅😅😅😅
2026-08-02 14:09:25
178
MR GOODLUCK🐦 :
tunao pigaaga more than two goals tujuane
2026-08-30 17:51:45
9
꧁༒☬محمد بن لافاميليا 33☬🎭🤍🫀 :
mim huwa naenda round hizo
2026-08-02 18:59:40
41
B_Boy💥✔️ :
Nime kumbuka kitu
2026-08-03 09:15:26
73
Duma_dume official :
USIOMBE UPIGIWE SIM KATIKATI YA MOVIE UKIRUDI INAANZA UPYA MASWALA YA KUJISAJILI UMRI NA KUINGIZA KODI ZA KWENYE EMAIL,😂😂😂😂 INAKAGA SANA STIM
2026-08-04 04:58:21
38
❤️🔥 SETTRAP :
kuna ile vitu vinakuja afu video inafika mwishooo😂😂😂😂😂
2026-09-23 23:45:53
5
PRINCE JAFFERY PLATNUMZ :
kuna wakati mtu akikutembelea unatamani aondoke haraka
2026-08-03 16:37:46
41
zuuh sulley :
mweny nazo anitumie maan hizii zimeisha uzuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 09:43:41
6
Nuu💞 :
mama ananiuliz hii nymb nimeipendea nn
2026-08-20 11:26:44
9
shyraj31 :
Mkimaliza kutoa maoni ntumien hzo vdeo nzuri na mimi 🌚😂💔
2026-08-04 15:50:32
6
Mark Dacascos :
90% ya coment ni familia
2026-08-03 12:41:56
9
dj_alleck :
Yaani sijuwi tiktok wanakuwa wanakuona nimetoka kujichukulia sheria nakutana na hii video ila ngoja nirud ten😂😂😂😂
2026-08-03 22:36:46
12
merryima :
ndomana me huwa na peleka mbele kabisa😂
2026-08-02 14:38:14
175
Dumb 🐶 :
we ukimaliza tu unapress home screen then unafuta recently
2026-08-02 18:00:35
136
gladly✨ :
nakumbuka nilirudi nyumbani sa nane usiku nikaogopa kupiga hodi nikaenda kulala jikoni aloo ni masaa manne tu yalikua yamebaki ifike asubuhi lakini niliona usiku mrefu kama nimelala sa moja mbaya zaid mm peke angu ndo nilikuwa nasoma kwahio nyumba nzima walichelewa kuamka yan daah sjui waliambizana ilaa🙌😂😂😂
2026-08-02 21:02:33
22
jane_kenzo :
Sikuelewa hadi niliposoma comment 😂 you guys mbinguni mtapasikia tuu aaaggghhh 😭😂😂😂
2026-08-03 08:36:09
6
Matambi🇹🇿 :
Inaumaa jmn kurudia tena mpk kesho😂😂😂😂
2026-08-02 10:15:01
100
𝐊𝐞𝐧𝐧𝐲𝐁 :
Mi Baada ya kumaliza😂
2026-08-02 13:09:33
21
cisse_mweusi :
Leo ya mwisho atufanyi tena wazi 😜
2026-08-03 11:50:11
13
To see more videos from user @kwani_bei_ngapi, please go to the Tikwm
homepage.