ila zingatia vifaa vya usalama mkuu maana vumbi la cement sio poa 😳😳
2026-08-04 18:20:30
4
user1138666503183 :
we jamaa unashiriki kujenga nyumba nyingi sana bila kujua...safi sana
2026-08-04 18:14:35
2
salehe kitumbo :
ap ilivuka tu barakowa ila navaa
2026-08-03 09:39:30
2
@Asiwaju🤝 :
inanikumbusha mbali sana TEMBO CEMENT
2026-08-03 19:22:11
1
Benson official Tz 🇹🇿 :
ilo vumbi mm miaka mitano mbele mmh hali itakuwa nzur kweli zingatia tia usalama pia wa afya yako 📌
2026-08-04 19:58:47
0
zaddy :
🔥🔥🔥🔥🔥 Hiari Moja
2026-08-04 15:52:02
0
Crama_tz :
Oi kaka hii wap
2026-08-04 16:06:55
0
Mtenda :
shukrani leo umenifanya nione saruji inavyopekiwa siku nyingine naomba utuoneshe inavyoandaliwa
2026-08-04 04:40:52
0
Joh Tz :
TB nje nje
2026-08-04 04:25:49
0
Ahmad :
Vp mzigo unapatikana
2026-08-03 19:13:44
1
killytz :
daah I'm so sad kuona unafanya kazi lakini mzingira siyo rafiki coz uja vaa maski coz kipato unacho ukipata apo kinaweza chote Isha kwenye care afya yako kama una kuwa unafanya kazi mazingira ambayo siyo rafiki
2026-08-04 09:39:16
1
XYZ :
occupational health Supervisor hafanyi kazi yake sawasawa
2026-08-03 18:22:39
0
بنت عبدالله :
Allah akuzidishiee kweny kazi ake
2026-08-02 03:07:49
0
user4954001997563 :
zingatia afya...
2026-08-03 15:27:29
0
Issah_ :
TB nje nje
2026-08-03 15:19:04
0
@sadrinho_bacar :
usar máscara para proteger a sua saúde
2026-08-05 08:53:24
0
barakaiddi430 :
bila kuchoka ila barakoa tu AFYA yetu muhimu
2026-08-03 15:56:35
0
Hamidu Digogo :
hiv mimi nikihitaji cement Kwa bei ya kiwandani taratibu zipoje
2026-08-03 15:48:02
0
Mack donard :
mpambanaji
2026-08-03 15:55:39
0
salehe kitumbo :
nashkuru mungu
2026-08-02 03:28:49
0
To see more videos from user @user5196682454296, please go to the Tikwm
homepage.