hakuna amri yeyote ya kusomesha , zamani kululikuwa hakuna shule na ilikuwaje??
2026-08-02 06:40:20
1
@MoureenMorgan :
Mwalimu kama mwalimu🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-08-02 19:11:46
2
Missmbise :
Some times watu wanahisi watumish ni kuhubir tuu but mambo kama haya ndo yanatuwek mbal na Mungu😌
2026-08-02 05:21:29
9
Noel Migongo :
sema nini, tusiache kuwa na moyo wa shukurani kwa wazazi wetu waliojitutumua kutufikisha tulipo. wangeweza kuishia kwenye primary tu kisheria na wakatuachia njiani.
be thankful
2026-08-02 12:10:54
2
𝕞𝕣 ᵐᵘˢʰⁱ$$# :
Amina mtumishi kweli watu wamefilisika ubongo
2026-08-02 12:52:34
4
🦋🦋leviee🦋🦋 :
Ni jukumu Hilo me kila nikiambiwa nilikusomesha nasema Hilo lilikuwa jukumu lako siyo deni
2026-08-02 10:21:36
1
niite mume mume la ma mume :
ila kweli kabisaaa uyu pastor anajua
2026-08-02 09:04:26
2
Babylee🥰 :
🤣🤣🤣 Baba angu unapita mule mule. Unayosema ni kweli jmn
2026-08-02 05:57:26
2
Docta Docta :
ameni
2026-08-02 18:51:03
0
@Ethan mbasha :
kweli eti
2026-08-02 17:30:08
0
bahatibby :
kweli kabisa baba waambie
2026-08-02 18:09:50
1
matilda :
mungu akubariki sana mtumishi
2026-08-02 05:55:37
1
grey.tiny_accessories :
Mungu unaweza
2026-08-02 16:51:22
0
Betty John :
nakupenda buree mtumishi wa mungu yaani nyeusi nyeupe huna kupambaa yesu akuinue
2026-08-02 15:54:46
0
Damaris Mkanyika :
kweli baba umeshinda. ata mm huwa nasemaga hivyo. asante baba umenirekebisha.
2026-08-02 13:37:25
0
b j muna :
kweli baba 🥰
2026-08-02 05:13:27
0
Miriam Laizer :
nikweli babs
2026-08-02 10:00:24
0
user543097 :
Amri ni kumsomesha mtoto shule ya Kayumba hadi form 4; zaidi ya hapo ni upendo. Kamwe siwezi kuacha kuwashukuru wazazi kwa kila kitu walichonifanyia.
2026-08-02 09:13:17
1
pinkboutique48 :
2026-08-02 15:44:49
0
lil suk :
🤣🤣 ongeza sauti😂
2026-08-02 10:04:20
0
Swty :
Waaambie ukweli
2026-08-02 14:11:00
0
richie madoshi :
Fact
2026-08-02 10:51:06
0
Kamigakiku Mbise Lis :
Ahsante sana Pastor
2026-08-02 05:21:56
0
To see more videos from user @emmanuel69973, please go to the Tikwm
homepage.