wazee wetu walifanyaje?? history is me. I live historians history is me
2026-08-02 13:11:30
1
awa phiri :
dadamm.namka.satisa.ama.sakumi
2026-08-02 15:16:30
2
Ninah Osborn :
Mimi huamka na kusali pia nakaa tu kutafakari na ninajisikia utulivu na raha sana
2026-08-07 18:49:40
1
Hilda love😘💖💖💞 :
true
2026-08-03 13:48:02
1
Dorkas Sekana :
Huo mda omba lolote omba chochote kitatiya omba kwa Mungu
2026-08-04 07:43:08
1
Mr H" a.k.a mr remix :
dada ake samahani,mimi toka tarehe 29 mwezi wa saba mpaka mpaka jana tarehe 1 naota ndo za kuowaona askari vipi kuna isahra gani apo!?
2026-08-02 06:03:52
1
~noahz~ :
Amina kweli kabisa...
2026-08-04 14:07:12
1
best Moneta :
Niko macho saa hizi
2026-08-03 00:11:52
1
Halima Bahati🇨🇩 :
mme wang anaamka saa 9 anakaa mpak alfajiri mimi najitahidi ila duuuh Mungu anisaidie namimi niweze kuwa naamk hii mida
2026-08-02 12:44:20
1
kariuki wangare :
mimi naamka saa nane na dakika 40 kulala saa kumi na moja hapo ndio ndoto zinakuja nikama picha,juzi nimelala saa kumi na moja nimejikuta Inchi ya Angola kazi nilio fanya huko acha tu ni hatari.
2026-08-03 13:51:42
2
Juma Mussa :
je choosen one shida zake lazima zidumu kwa muda mrefu?
2026-08-03 12:01:18
0
zawawa🩷 :
shukran
2026-08-04 17:57:27
0
eliasclerk :
Mimi tumbo imekuwa ikiniuma sana tunapoingia huu mwezi wa nane...sijui pia nyinyi
2026-08-04 06:56:34
0
steph bobo :
ni kweri kabisa
2026-08-03 12:57:33
0
Alfred Erias :
nikweli kabisa sasa wewe unajuaje
2026-08-03 11:23:51
0
Silvanus Meraba♒️ :
Nataka raha za mteule maana naona shida tu
2026-08-02 05:59:15
1
KHAMIS ALI :
Sure
2026-08-02 06:02:38
0
Granton :
n kweli dada,
2026-08-02 18:23:06
0
Rehema tisho :
amen
2026-08-03 05:59:30
0
AQUESO FASHION :
dada hata iweje utaamka Tu na Bila kusali ulali unaweweseka kweli ila MUNGU anatupenda sanaa 🙏🙏
2026-08-06 09:57:25
1
Bibij :
Amka usali ndio muda wako umepewa
2026-08-02 12:05:47
1
queen safiya 456🫅🌊💧💦 :
🥰🥰🥰
2026-08-02 13:23:58
0
fridah 💄✍️💪 :
🙏
2026-08-02 13:27:24
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.