@sensible_tz: #hotspot #100k #tanzaniantiktok🇹🇿 #Lifestyle #fyp

sensible_tz
sensible_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 05:36:19 GMT
6881
290
24
7

Music

Download

Comments

dr.herman.hd
Herman HD :
utabiri wangu itashuka bei
2026-08-02 17:22:50
1
essamsabrisabri0
Alb¥ :
kam ni fursa haipo tena maan kila mtu anawez milik wifi yake 🥺 kila sehem wif zipo
2026-08-02 14:02:26
1
chedy96herman.che
Chedy HM🇹🇿 :
Hv Sahv Biashara Hii Inakatiwa Leseni ? Na Sh Ngap?
2026-08-02 16:43:15
0
joe857073
joe :
na maandalizi ya kuifanyia mpango wa kulipa kodi yanakuja,,,
2026-08-02 09:37:48
1
mashy_jr
MashaurJr :
Hakuna ilo.....me nimewaza nikaona kuwa iyo biashara inaenda kupotea ndan ya muda mfupi kwa maana watu wa fiber saiv wanakuja juuu....tunapoelekea kila mtu anakuwa na fiber network majumban....na ndomana mitandao ya simu wameona nao kua ni vyema kuingia kwny fiber
2026-08-02 20:22:24
0
brasterabdul
brasterabdul :
Kwa Sasa Ina cost Kiasi gani kwa Kila kitu
2026-08-02 06:46:40
0
dharaph.tz
Zarafi saidi Tz :
Kaka mi mnasait mbili najioanga niongeze mbili chapu chapu kabla
2026-08-02 05:49:49
0
jumaissa861
Tsoi :
kwa upande wangu naeza sema hapana kwa 50%, sababu inapokuja fursa watu wanaitafutia substitute kisha inakaa, Hotspot ni issue ya technology na technology haijawai kaa kwa style moja, alafu kumbuka kuna mchina ambae anatengeneza bizaa kulingana na hela yako.
2026-08-02 17:57:20
0
josephchacha660
josephchacha660 :
inaenda kushuka bei, siku hizi wataalam wanaofunga wanazidi kuwa wengi, ushindani wao utafanya wengine wapunguze zaidi gharama wapate kula
2026-08-02 17:38:06
0
ittz.johsam
ittz.johsam :
Bajet ipi inafaa kwa kuanza nayo? Kiongozi
2026-08-02 09:20:59
0
chedy96herman.che
Chedy HM🇹🇿 :
Sahihi kaka
2026-08-02 16:42:27
0
To see more videos from user @sensible_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About