@pancreascare1: "MWENYE KISUKARI? USIPITWE NA SALADI HII!" 1. Kudhibiti Sukari Damuni: Fiber nyingi kwenye kabichi, carrots, na mboga za majani huzuia sukari kupanda ghafla baada ya kula. 2. Kulinda Kongosho: Nyanya na vitunguu vina viondoa sumu (antioxidants) vinavyolinda seli za kongosho na mwili. 3. Kudhibiti Uzito: Ina kalori chache lakini inajaza tumbo vizuri, kusaidia kuweka uzito sawa. 4. Kuongeza Kinga na Afya ya Macho: Green Apple na juisi ya chungwa zina Vitamin A na C za kutosha kulinda macho na kinga ya mwili. Kazi yangu ni kukupa elimu, uelewa, na njia sahihi ya kurudisha afya yako... Lakini mpira uko mguuni kwako—utekelezaji ni wajibu wako! Usiishie tu kusoma au kuangalia, chukua hatua leo kwa ajili ya afya ya kongosho na mwili wako. 📲 Uko tayari kuanza utekelezaji leo? Wasiliana nami moja kwa moja kupitia: +255 662 316 555 📩✨ #congolaise🇨🇩 #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸 #bukavu🇨🇩 #AfyaYako
PANCREAS CARE 🙌
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 05:44:43 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @pancreascare1, please go to the Tikwm
homepage.