@mwl.emilian.katub7: Ikawa jioni ikawa asubuhi 😄 🤣 😂 😆 Usikate tamaa kwasababu ya jioni unayoipitia mwamini Mungu asubuhi yako inakuja Zaburi 30:5b Huenda kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huwa furaha. Maisha ya watu wengi yameanzia kwenye jioni kwenda kwenye asubuhi. Nakutia moyo usikate tamaa Asubuhi yako inakaribia katika jina la Yesu
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 05:47:07 GMT
Music
Download
Comments
maryla justus :
amen and amen and amen and 🙏🙏🙏🙏
2026-08-03 06:26:31
1
fatu :
Amen more blessing come in JESUS NAME
2026-08-03 06:36:53
0
zash💞💞 :
TRUE GOD IS FAITHFUL AND HE BLESSES FOR REAL👏👏
2026-08-02 06:29:27
0
Dimension 💙🇰🇪🇺🇬 :
Receive all the Glory... Mwalimu you have been a blessing to me...🙏🏽🙏🏽 Your teachings hav been Soo powerful n encouraging to me🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽...
2026-08-02 06:12:17
1
Mamakanisa Mdogo :
Amen,God isgreat❤🙏
2026-08-02 20:09:30
0
miss Moshi ♥️ :
namshukulu mungu kupitia maombi ya kicheko ,Mungu amenipa Kicheko
2026-08-02 07:52:08
27
nicole :
Glory to lord 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-02 18:58:24
0
Luuh Sanka :
Babaa nitakupa mrejesho nikiambatanisha na picha kama hii
2026-08-02 14:34:16
5
Omiles :
unanibalik SANA mwl.Mungu awatunze naamini Asubuhi yangu imekaribia piah❤️❤️
2026-08-03 05:48:44
1
KN :
Weee mumetoka mbali kabisa, huyu pasta ukimuacha hata mbingu zenyewe zitasimama kumutetea 🙏ana stahili heshima kabisa 🙏
2026-08-02 08:22:55
2
Magrethy🩷 :
why? mm nikate tamaa mapema mungu nipe moyo wa uvumilivu ipo siku utaruhusu machozi ya furaha 🧎🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-02 06:18:14
12
Dainess Mtenga :
mi.nime cheka mtumishi nisamee😂😂😂
2026-08-02 07:08:46
2
🦋Doris🦋 :
mungu awape maisha marefu jmn🥰🥰
2026-08-02 17:15:32
3
MG :
Mungu anabadilisha maisha ya watu hakika🙌
2026-08-02 11:21:14
2
mungu nimwema :
mungu abariki familia yako baba inapendeza
2026-08-03 07:37:51
0
sumagirl😇🥰 :
Mungu huwa anaumba upya tusiache kusali mungu halali mpaka atakapoona furaha kwenye maisha yetu
2026-08-02 11:19:28
2
Angness Agness nyantori :
[Sticker] AMINA ❤️🙏
2026-08-02 18:17:46
0
dedeh Og :
kweli kabisa
2026-08-02 16:01:31
1
Isaya Sanga :
mtumishi bwana yesu asifiwe,naomba unisaidie namba zako,ninahitaji msaada wa maombi na Toba🙏🙏
2026-08-02 06:58:34
1
Hadija Muzungu :
amen amen amen
2026-08-03 08:03:29
0
choicelye :
God Bless You🙏🙏
2026-08-03 07:56:58
0
MWAMINI BYAMUNGU :
Amen
2026-08-03 07:51:29
0
katungu Huguette kighoma :
kkkkk Nina furahi sana bwana yesu asifiwe
2026-08-03 07:45:10
0
Winfrida02 :
kweliiii kabsaaaa🥰🥰
2026-08-03 07:36:51
0
happy trifosa :
Amen
2026-08-03 08:03:44
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.