magu alisema "katiba sio kipaumbele cha watanzania" nashangaa hawa wapuuzi kina TEC na chadema ndio wanajifanya vimbele mbele vya kujidai wanawasemea watanzania,wakati hamna ushahidi huo kama wametumwa kutusemea kua tuna katiba mpya, wakati hii iliopo hamna anaeijua!
2026-08-02 15:16:08
0
matanga :
safisana kaka
2026-08-02 13:18:24
0
staa j :
hii ni kweli kabisa hata mm naunga mkono.
2026-08-02 07:46:36
0
idrissamohamed16 :
Safi Sanaaaaaaa
2026-08-02 08:00:38
0
misalaba :
njaa
2026-08-02 14:11:32
0
To see more videos from user @user9374375548633, please go to the Tikwm
homepage.