@kusagatv:

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 07:45:34 GMT
289164
16686
1868
1143

Music

Download

Comments

lizzy.madeko
Baby Lizzy🥰🦋 :
Umasikini mbaya🥺🥺🥺
2026-08-02 09:20:34
534
jamesncheye5
jamesncheye :
Watu wenye roho chafu wengi wako makanisani eti linasali.
2026-08-02 17:22:37
670
foxpapey
Diana🤍💙 :
Anavyoelezea kirahisiii yaan
2026-08-02 17:42:32
190
tiffa.kiwamba
Tiffa Kiwamba :
Kinacho niuma zaidi anajibu kawaida sana 😭😭
2026-08-03 03:38:35
226
ryne955
ryne🥰 :
Kwani mtu had unapigwa hivo unabaki kufanya nini😳
2026-08-02 17:10:47
233
anna.john778
Anna John :
UMASIKINI HUU😭😭😭😭🙌🏼
2026-08-02 18:32:08
70
kartasijoseph36
Kartasi Joseph :
mama yangu pasi inavyo uma watu wanaroho ngumu
2026-08-02 17:04:29
277
user6592661712582
Diana's :
Nani kapata msisimko mkali wa uchungu na kilio juu Mungu nipe miaka mingi nilee wanangu🙏🙏🙏
2026-08-02 21:21:50
62
mckatoto5
Ore_Stylish👩‍🦳❤️💃💅 :
kuna watu wanaroho mbayaaa
2026-08-02 17:03:51
78
mwana.rukwa
💓 pink :
umasikin mbaya jaman
2026-08-02 21:44:29
28
myna77776
Mafly :
sasa kama umemuajiri mtu ukiona hafai mrudishe kwao
2026-08-03 04:19:21
85
rachelchepkurui19
Rachel Chepkurui :
oooh my god 😭😭😭😭
2026-08-03 20:18:03
0
verioustarimo48
❤️Libra Queen🦋 :
mungu wangu niinue mtoto wangu asiteseke
2026-08-02 17:01:07
59
user2506586391713
Mtoto wamama Tz❤️‍🔥😏🫵 :
Ee mungu nipe umri mrefu niwaree watoto wa marehem mdogo wangu na wangu duniani watu hawana huruma tafadhali ckia maombi yangu😔😔😔🧎🙏
2026-08-02 18:22:34
70
user73909112194878
Mwajmaynah :
Mungu nipe umri mrefu nijekulea wanangu😌
2026-08-03 09:40:08
18
bingwa.wa.mkataba
BINGWA WA MKATABA ARUSHA :
samahan,mm nilikiwa naomba kama kuna wezekano tupate namba ya huyo dada kama tunaweza kumsapoti mtajii😭 unajuwa mpaka anapigwa hivo na anazidi kuvumililia kubak hapo hapo ni kwamba pengine hana pakwendaa na pengine hana ndugu Ndo maan amefanyiwa kitendo cha kikatilii, tusaidie kumpata tumpe mtaji huyo dada afanye biashara yake🙏
2026-08-03 07:28:06
94
pop38gmail.com0
POP :
uyoo anaehojii kwa kweliii nampaa 100 , yupoo vizur sana ✊
2026-08-03 05:23:36
30
zuu5854
zuu🥰😍 :
hta kma amekosa jamani sio hivyo
2026-08-02 17:43:23
12
user2998595446675
user2998595446675 :
inaonesha kuwa wanamchangia 😢😢😢😢
2026-08-02 16:05:28
11
pianodominick
Miss Piano😇 :
Mbona hamumuonesh huyo anaeongea tumuone jaman😢😢😢wanawez wakatuuwa barabarani hukoo
2026-08-02 18:25:58
111
elizaeliezer
licious2778 :
hiyo ni pasi wala sio maji ya moto
2026-08-02 17:33:45
100
kattie5969
Kattie :
Pasi iyooo jaman 😭😭😭🥹🥹🥹
2026-08-02 08:05:48
11
mayachris12
Mayachris12 :
Sometime kufatilia mambo kama haya inataka moyo imagine mm ndo nakuhoji juu ya kosa kama hili na unajibu kirahisi hivyo haloo Mungu ni fundi ndo maana wengine hatupi kazi kama hizi
2026-08-02 20:41:43
5
its.leyla728
its leyla :
Mimi ni dada wa kazi nalea mtoto mmoja lakini boss wangu ananambh huwage unampiga ya allah naomba aniepushe kupiga mtoto wa mtu mi siwezi kwa kweli
2026-08-02 19:32:35
17
rashid.mwinyi
Rashid Mwinyi :
mi naona kama mnawachelewesha tu afu et linasema linasali hv kusali wanachukulia kawaida tu
2026-08-02 17:07:44
14
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About