@tumadhirkitchen: Matajiri Asalam alaykum 😁, kutokana na maombi ya wengi leo nimeleta kwenu recipe ya passion cheesecake ili tufaidike kwa pamoja karibuni tuandae wote! Mahitaji Biscuit yoyote ilikua haina cream Siagi iliyoyeyushwa 1/2 cup or 120ml Whipping cream 1and1/2 cup Cheese cream 1cup Icing sugar. 1 cup Passion juice. 1/4 cup. Fata step km unavoona katika video, Ukimaliza weka kwenye freezer usiku mzima, itakua tayar enjoy!! Nitatuma recipe ya passion souce hio nilio mwagia juu, ktk video inayofata , Usisahau ku like, coment and share kwa faida ya wengine!! Nawapendaaaa😍

Tumadhir 90
Tumadhir 90
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 07:52:15 GMT
381
38
2
2

Music

Download

Comments

tumamapoz_keki
tumamapoz_keki :
mahi diha
2026-08-02 08:48:36
0
_jun3r_01_
🦋_jun3r_01_🦋 :
asante sana😍🥰
2026-08-02 12:09:25
0
To see more videos from user @tumadhirkitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About