kuna maumivu ambayo huwezi hata kuyaeleza kwa mtu unaamka asubuhi ukiwa mzima kwa nje lakini ndani yako moyo umechoka na hakuna anayejua unajifanya uko sawa lakini ungetamani kupiga kelele kulia kwa nguvu lakini huna hata mtu wa kukusikiliza bila kukuhukumu wale uliowaamini hawapo tena na hata ukiandika status hakuna anayejali chochote umeelemewa na mapito ambayo unayanyamazia kila siku nakuelewa na ndio sababu naandika hii kwa ajili yako kwa sababu moyo ulioumizwa hauponi kwa ushauri wa kawaida unahitaji mtu anayejua kugusa vilio vya ndani bila kuuliza maswali mengi
2026-08-27 15:15:18
1
beris :
kweli
2026-09-22 20:30:03
0
Chivumbe Bongo :
inauma
2026-08-04 03:05:36
0
💢TIMBOROA GIRL❤️ :
Nifanyie moja ya mpenzi💕💕 ya siku yake ya kuzali huu wezi