Daaa mm nimechukua namb juz tyuu leo kaniorodheshea vitu kama ndo mke wangu mpka najuta kuchukua nambaa kwa sasa sijui kama ntakujaa kumuomba dada yoyote namba kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-02 14:54:00
9
Diana Kenga :
ww ulkua watak??
2026-08-02 20:11:23
1
MU swary :
ukiomba no tyu sjal wiki ooohh nadaiw cod ndo man w2 tnawachoropoka bdae mbna siolew tatiz mapenz yamekuw business
2026-08-02 20:00:41
1
Mboka Boy 🌳🕸️🚧 :
Mbona siwaoni kina Irine kaka😁
2026-08-03 12:27:13
1
msonashi :
wanajiona kama wamepata kazi vile malipo ni ya kila siku