imeondok na biharux mtarajiw madereva kuwen makin bn kumbuken mmebeba roh za watu na tegemezi😭😭wapumzik kwa amani marehemu wote na mahutut allah awape uponyaj 😰Ee Mungu tunaomba mwisho mwema
2026-08-03 09:59:55
33
Braytonny :
asante
2026-08-03 21:06:31
0
Bint abbasi :
muda mwengine kukaa nyuma naona kuna saidia
2026-08-03 09:55:17
11
diva 💕💋🙏 :
Aisee inaumiza sana
2026-08-03 07:47:22
1
Jackson ipanda Mahalila :
poleni sana wapendwa
2026-08-03 18:12:15
2
tesha boy 💪💪 :
lini kwanza hii mtaalam
2026-08-03 17:19:33
1
In dream :
Mungu wapumzishe kwa amani
2026-08-03 10:11:32
1
janeth chazzy :
polen
2026-08-03 12:27:49
1
rehema :
poleni sana ndugu zetu
2026-08-03 20:08:52
0
Eve Jonathan :
pole cn familia zot pia na tanzania mzim
2026-08-03 14:09:12
1
Menina food :
Poleni sana ila jamani madeleva wanaendesha mabasi mwendo mbaya sana 😭
2026-08-03 11:46:17
1
diego :
pumzika kwa aman mwamba tupo nyuma yako
2026-08-04 05:23:22
1
Rachel 🌹💕🌻🌺 :
polen sana jmn dah inauma bc tu
2026-08-04 05:17:28
1
neema :
polesana,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-03 08:40:42
1
Elizabeth juma :
pole sana na mungu awatie nguvu
2026-08-03 17:58:08
2
MANGISENIOR :
hii ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi?
2026-08-02 10:18:40
3
gidion :
😭😭😭😭
2026-08-03 06:32:09
1
fatuma mwanjama :
polen jaman😭😭😭😭😭😭
2026-08-03 18:04:46
1
Nasra Kidoya :
jamn daa
2026-08-03 07:21:35
1
wozza36 :
wapumzike kwa amani 🙏
2026-08-03 07:32:32
1
To see more videos from user @junior09054, please go to the Tikwm
homepage.