mkuu mbm mnafanya naona inawezekana lakn mafundi wanasema haiwezekani kwan mnatumia material gan
2026-08-02 10:57:40
1
Bama :
Nyumba nzuri sana imekosa swimming pool tu
2026-09-07 19:25:38
1
COUSIN_WA_KENYA :
habarì ninaboma hadi kwenye renta vp linaweza kuwa hivyo
2026-08-02 10:40:47
1
e.movie :
nahisi 14*19 nje ya finishing
2026-08-04 06:22:40
0
Dr.高 新 封 :
Noma sana
2026-08-02 12:33:26
1
Msangawale 👑Chief :
Duuhh nyie jamaa mnatisha sanaaa
2026-08-20 11:20:36
0
wanyodo tz :
delivery unafanya
2026-08-15 00:35:41
1
abby :
iyo nyumbq mnauz
2026-09-06 09:21:59
0
kimyakimya :
Kwa hali ya hewa ya dar hiyo design ni hell on earth! Ni design nzuri lakini nina uhakika sio practical kwa hali ya hewa ya dar. Suala lingine ni mzunguko wa hewa na mwanga.
2026-08-02 12:09:02
0
𝑺𝑻𝑬𝑽𝑬 🇹🇿 :
Ukiongeza chumba cha tatu itaghalim Tshingapi kaka
2026-09-01 11:12:02
0
H :
nna kiwanja 24 kwa 26 unaweza nipa raman
2026-09-04 12:14:30
0
King Henry :
14*19m ni ukubwa eneo sio lazima usome, kikubwa unaweza kununua
2026-09-17 17:57:50
0
Sajie110 :
Hii ya moto
2026-08-03 16:23:22
0
King :
ramani yake unapataje!?
2026-08-08 09:26:55
0
MR AWARENESS🧠🧠 :
GUYS HIZO NI SQUIRE METERS NA SIYO BEI😅😅😅
2026-09-14 13:31:26
0
Bwamkuutattoo :
nikiangalia raman yangu najiona mjinga kabisa mimi...hii nitakutafuta 😂😂😂
2026-08-03 19:29:16
0
DR.JJ :
kama hapo imegharim bei gani Kila kitu
2026-08-03 17:46:06
0
#BaVin :
kwahiyo mtu akikupatia Tsh 19 M unamkabidhi hiyo nyumba?
2026-08-02 15:07:32
0
To see more videos from user @nyumbabora, please go to the Tikwm
homepage.