@isackpate: Amani ya moyo, heshima ya kweli na upendo wa dhati ni zawadi adimu kuliko mali nyingi. ❤️ Pengine siwezi kukupa kila unachotamani... Lakini nitajitahidi kukupa Amani, Heshima na Upendo tele. 🤍 Tag mtu ambaye ungependa kumuahidi hili leo. ❤️👇 ━━━━━━━━━━━━━━ 🌹 Britt's Perfume Harufu inayovutia na kuacha kumbukumbu isiyosahaulika. 📩 0756346883 #IsackPate #BrittsPerfume #LoveQuotes #Mahusiano #TrueLove