kila mtu ni mgeni apa duniani kwahy tusishauliane sana
2026-08-02 17:03:08
86
suzane120 :
brooooo huwez niambia kitu oooote kuhusu hii kitu....
2026-08-03 08:34:11
23
Princesdee_Official👑🍁🔞 :
😂😂😂😂😂😂Na siachi labda nikublok
2026-08-02 17:33:47
16
HD٭S么V么GÈ :
snoop doggy😂😂 haya unataka nini tena😂😂
2026-08-02 15:36:05
10
iQ ya baba :
we sema baba Ako ajafanikiwa akiwa anavuta ila sio wote tunavuta na life inaenda
2026-08-03 12:23:05
14
fatimamadini🧿 :
Mume wangu anavuta mahi Mpaka Leo he is 42 now Ana hela kibao cheo na Amani tele 😁
2026-08-03 05:20:07
8
coco_la_vee :
Acha wee kwanza 😂
2026-08-02 18:12:52
8
God is powerful! :
Kama ulifeli ni wewe tu
2026-08-02 10:19:52
5
CHAM :
😂 Wengi wanavuta bro tena mpaka unao waheshimu sana.
2026-08-02 16:34:52
7
Neuro_Aqua♒️ :
nimesikiliza video nikasoma comment nimegundua watu wana upeo mdogo sana wa fikra mnataja watu wachache walofanikiwa mbona hamjisemi wengi mliofeli😂
2026-08-02 10:37:52
41
. :
Juma nature, Afande sele, Bob malley, Snoop dog, Wiz Khalifa na hao ni wachache tu
2026-08-02 10:43:05
130
mohamedramadhan154 :
kilamtu ndo mala yake yakwanza kuishi dunian fanya.mambo yako
2026-08-02 17:13:53
21
Mike :
Apo tutakosana ndugu yangu😂
2026-08-02 10:37:10
14
Lion twin :
usitumie maneno makali kulazimisha watu waku amini hekima ni kuweza kumuaminisha mtu bila kutumia nguvu wapo watu watu wamefanikiwa vizur Tu na maisha Yao yanaenda vizur tu
2026-08-03 04:58:44
20
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm
homepage.