Hata hapa Chuga chalii mwenye bike anajiamini kulika mtu mwenye LC 300
2026-08-04 03:25:47
4
Isimail :
wengi wenye LC 300 co zakwao
2026-08-02 19:14:15
1
1% :
tena mwenye 2gr 😂
2026-08-03 06:10:23
0
Jessica :
Alafu hatunaga hata ela 😂😂😂
2026-08-02 18:40:30
0
songea_house_of_jeans :
LC 300 ndio nini tena😁
2026-08-02 13:47:55
0
isjoec🌹 :
tusamehe kenny😅😅 tupumzishe
2026-08-02 18:16:56
0
John Cassper :
Watajua Wao Na Lc zao Me ninachojua Gari yangu Qaliiiii 😂
2026-08-03 06:03:16
0
R&m 04 :
hiii hiiii lc 300 au ?
2026-08-04 09:59:35
0
AFRICAN KING 🤴 :
hii nayo imekaaje kitaalamu😂
2026-08-03 19:23:45
0
C.I.A :
mnajipa moyo
2026-08-03 17:14:50
0
Ajaay Kisoza :
Hakika, 😁
2026-08-02 17:19:56
0
REES MOTORS🚘 :
uwe unawaambia mkuu haswa wadada😁🔥
2026-08-03 10:48:56
0
𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤 :
wee broo kua na heshima bhn em heshimu heshima unafananisha lc300 na vitu vya ajabu 😁
2026-08-02 18:25:34
0
kinshommie_ :
Watu wa crown si walishaamuaga kuwa wehu
2026-08-02 18:34:47
0
Ghoston💀☠️ :
😁😁mm sio mbunge bana ,,LC 300 ya nn taekaje macho ya paka👀👀
2026-08-02 21:03:32
1
hamoud_31 :
Nikionaga crown barabani nafurahi sana naiwashia full mara mbili kabla sija overtake nikimpita nawash hazard , akijichanganya aanzishe battle manyoyaaa 😂😂😂 atanikuta mbele namsubiri anipe pointzangu tatu..
2026-08-03 10:19:41
0
🎀 vee🧸✨️ :
na mwenye iPhone 11 kuliko mwenye Samsung 25atla wanajikutaga ma qeen awo😅
2026-08-04 09:14:14
1
SAAB :
hajawai kukatwa na lc300 pale mdaula akajiona kama gari lake limezima
2026-08-03 18:54:00
0
HUSTLER :
ego inawaponza watu wa crown😂😂
2026-08-03 12:00:50
0
buza man :
Iko ivyo na itakuwa ivyo melele 💊💊🙏🏼
2026-08-03 19:20:24
0
To see more videos from user @crownking.__, please go to the Tikwm
homepage.