@malkiafoods: Daniel 3. So Story ya Shedrack, Meshack and Abelnego inatufundisha nini?? Alaf, Mungu hawezi kukuacha. Hakuahidi kutopita kwenyw moto, kwenye moto utapita lakini atakua na wewe kukuvusha.. Haya niandikie kwenye comment "I am not alone" #Biblestories #Sundayschool #MalkiaFoods #Biblestories

Malkia Foods
Malkia Foods
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 10:30:15 GMT
195306
19209
1359
941

Music

Download

Comments

vee.3.004
Vee.3.00 :
I am not alone🙏
2026-09-27 07:25:30
0
new_code4
THE MAN OF GOD✝️✅ :
Power of God💪🏻💪🏻✅
2026-09-27 07:47:47
0
kokuhirwalilian
KokuhirwaLilian :
Siko pekeyangu niko na Mungu wangu aliyehai
2026-08-02 10:55:38
282
dianasteven47
Diana steven🥰🥰🥰 :
Mungu uliewatoa vijana hawa kwenye moto, nitoe na me kwenye hiki kipindi kigum
2026-08-04 07:18:50
191
malkiafoods
Malkia Foods :
Iam not alone 🙏
2026-08-02 11:27:12
142
jennyjast0
Jenny 🌸🦋 :
Unafaa kuwa mwalimu wa Sunday school 🥰
2026-08-03 09:54:25
113
user7573298518682
flower :
Hivyo story inatoka katika kitabu gani?
2026-08-02 18:29:20
13
mollel.lady1
Zuuuh :
Umependeza my wangu
2026-08-02 10:52:20
15
elviry238
@etm :
nilikumisi na maudhui yako unanisaidia kusoma biblia kipenzi Amina
2026-08-02 12:15:27
24
tuzojerometz
TUZO JEROME TZ ✅ :
Mungu akubariki sanaa🥰
2026-08-07 08:42:24
1
user1199422828105
Nw Page858💖💥 :
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu,nijapopota kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya kwamaana Bwana yupo pamoja nami🙏
2026-08-02 17:58:36
56
user1956961369383
user1956961369383 :
I'm not alone. Barikiwa
2026-08-08 21:31:30
1
jackiline.munis
jackiline munis :
l am not alone
2026-08-02 13:12:08
1
user2981984575940
sheddy :
My name is shadrack 😌 and i am proud to be christian
2026-08-03 08:38:42
16
jackson.thomas847
Jackson Thomas :
Siko peke yangu ninae Mungu ninaye muamini
2026-08-10 09:03:56
1
delycious13
Sophie :
I am not alone😫🙏🙏🙏
2026-08-02 20:32:31
3
mamiro446
mamiro44 :
Amina Mungu yupo pamoja nasi
2026-08-06 16:11:51
0
queennanyori
Queen Nanyori :
U look good my wetu❤️
2026-08-02 14:32:28
8
being_rhee
Rhee🎀 :
Yan zaman kulikua na miujiza ya live.. hii miaka yetu sasa ni kasheshe
2026-08-03 04:49:05
6
ryner12
Irene❣🦋 :
Am Not Alone 😭😭😭😭😭 Mungu Yuko Pamoja na Mimi 🙏🙏🙏🙏
2026-08-02 14:56:40
2
gift.term3
Gift term :
I am not alone 🙏
2026-08-02 13:51:05
3
octavianacharlz
octavianacharlz :
mwanzo walikuwa wanaitwa Hanania,Mishaeli na Azaria
2026-08-04 17:35:40
4
user700733323623
Lizzyme 45 :
I’m not alone 😊
2026-08-02 11:05:53
3
officialhamy2
officialhamy2 :
story ya Esta please start alipataje umalkia mpk kusababisha kifo cha Haman
2026-08-02 22:19:01
1
callme0d
callme :
💃 I am not alone 💃 ,love ue 😘
2026-08-02 13:05:31
4
To see more videos from user @malkiafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About