@godfreymasunga: Mfumo wa Salamu usukumani

Godfrey Masunga
Godfrey Masunga
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 10:35:26 GMT
66868
2893
519
749

Music

Download

Comments

mankamwanri
mankamwanri :
wachaga huku hatutoboi😂
2026-08-03 06:06:27
162
manka_mushi888
Manka Mushi :
Wachaga tunasalimiana uku tunaondoka hakuna kupoteza muda😂😂
2026-08-03 15:47:19
57
minnah274
Favor store_Moshi 👜👝 :
Na hii kiburi ya kimarangu mbona mtaniuaaa😂😂😂
2026-08-02 11:57:52
56
haikaofficial1
mom Amaal🦋🥰 :
mm huko ningetimuliwa zaman yan nasalimia huku natembea😂😂😂
2026-08-03 10:24:50
39
vailethprince2
vailethprince🫶 :
nkiolewa huko nawaambia wazaz wang kbsaa hy mahar msiile jmn lolote linaweza kutokea😁😁😁😁😁😁 sipigi goti mm aaahg
2026-08-03 07:04:40
29
rey37776
Rey :
Kwahiyo mpaka wamalize mazungumzo yao
2026-08-03 11:46:17
11
madamhero70
madamhero :
na upare wangu wakwe zangu wamezoea goti limeshindikan
2026-08-03 07:57:26
10
jaylene981
jaylene🥰 :
mm nikienda kwa wakwe tukikarbia kukutana live barabarani najificha apite 1 hii kupiga magoti mda wote n mtihani sana
2026-08-03 08:44:42
9
rinabeauty010
Rina Beauty :
wengine tunasalimia huku tunatembea😂
2026-08-03 06:58:35
8
itsiddah0
It’s iddah :
I will never!
2026-08-03 11:00:42
6
poshie098
Po-shie💜 :
Na ndio naenda huko Mungu wangu😭😭😭
2026-08-03 12:27:30
3
rose.job2
Rose masata mgogo :
Siku nilienda kumsalimia mdogoangu sasa akasema twende ka msalimie ba mkwe yaan ni unapiga magoti mpaka amalize kuongea hiyo kila siku
2026-08-03 12:55:23
2
dream.girl2873
Dream girl :
Haha I miss home
2026-08-03 07:54:31
2
misscurte
*miss jeslyn* :
sasa mm mungu alishaniumbaga na kiburi na jeuri ingkuwaje sasa kama ningezaliwa uko
2026-08-03 14:23:01
2
mulhat477
Mulhat 🦋💞❣️ :
Labda kama mm sio group O
2026-08-03 18:21:25
2
cleycie_tony
cleycie tony :
Imagine na kukaa kwangu njee bado napigiaa watu magotii😂😂 huku nje ya nchi wananionag kama naabudu watu bt juu sa kuna vitu siezi achaa jamani😂
2026-08-03 08:34:54
2
ramrajj1
RAMRAJJ🦋🌹 :
kuna siku nilijaribu kumpa mume wangu maji ya kunywa nikiwa nimepiga magoti akanambia tu nyanyuka mama sina hela😂😂🥰
2026-08-03 18:24:23
2
tatusimba286
Tatu Simba :
kila mtu adili na yakwao hatutaki kelel hapa wasukum oyeeee hatuna kiburi cha makusudi wala bahati mbaya😇
2026-08-03 12:55:21
2
naomi_si2
Na double s🧩 :
Mi napenda i wish ningefundishwa ivo toka mdogo🥰🥰
2026-08-03 14:21:23
2
marryshangali
Mary Briana bevan :
Mimi hii kitu hata Kwa kuigz tu siwezi 😅😅
2026-08-03 13:41:40
2
halimah_chere
Halimah :
kwa hiyo kuna kupiga magoti? eheee hayaa
2026-08-03 15:30:20
2
To see more videos from user @godfreymasunga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About