@chiefkyando: NA HAO NIDA NDO AKINA NANI😂😂 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok #tanzaniatiktok #fyp #foryoupage

CHIEF KYANDO
CHIEF KYANDO
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 11:13:19 GMT
233273
17751
289
194

Music

Download

Comments

tory.kirah
omaya :
nasubir umelize kushangaa nikwambia sikuizi kila sikukuu hatutoki tunalindwa😁
2026-08-02 16:28:21
112
kelvoo801
Mr smile 😃 😊 :
maliza kushangaa 😏 nikwambie deni la Taifa limefik kwilioni
2026-08-02 18:32:09
60
mpemba20
Juma Hamadi☪️ :
nimecheka mpk nimekufa
2026-08-02 18:28:15
36
tshambuddy
TSHAM BUDDY♏️ :
pumzika ni kwambie zuchu na mondi waliachana siku mbili nikatangaza kwa majirani aibu naona mm😁😁😁
2026-08-02 15:45:23
56
qmary9918
Qmary99 :
mjomba wa chuo asioni hii
2026-08-02 19:29:07
10
abubakary.hamis
Abbray :
tusiojua kama mm gongo like apa!
2026-08-03 17:19:58
17
mrjokes95
MR JOKE :
maliza kushangaa nikuambie kuna mchina ameshindwa kutuelewa😂😂
2026-08-02 20:19:46
16
okusimba12
@okusimba :
Standard Gauge Railways
2026-08-02 11:17:09
21
lite_instagram.77
INSTAGRAM#LITE :
maliza nikwambie kuna mtu 😆 alisema ,,siendi,, nauli anakula ,, saivi ana mtoto ☺️🤣😂😅😆😅
2026-08-08 13:34:01
8
rine.fave4
🦋being byrdie🌸🦋 :
maliza kulia nikwambie kuna mchina alishindwa kuelewa😁😁😂😂
2026-08-05 06:59:05
6
lucasdc0011
lucas Dc🔥 :
@Daymu Scrutinizer:SGR ni mshahara anaopokea Rais wa Katoro😂😂😂
2026-08-02 19:09:30
7
pretty.dee484
Daisy🌼🦋🦋 :
Achana na iyo SGR train ya umeme kuna baby Ollie uku😂😂
2026-08-02 16:39:29
17
rajah06...2
R_06..🇰🇪 :
mariza kushangaa nikwambie wema sio mgumba
2026-08-02 21:06:39
7
yesus_natharene
Natharene Jesus Fake :
maliza kushangaa nikwambie Kuna mwali alitambulishwa ukweni mjini ndoa akafunga jangwani🤣🤣
2026-08-13 14:43:08
5
benhilali_galaxy1
💲BENHILALI_GALAXY🧷 :
tulia kidogo utulie nikwambie Baba levo ni mbunge
2026-08-26 08:38:58
4
obadianyondo45
Obadia Nyondo :
maluz kushangaa nikwambie tigo sasa ni yas
2026-08-04 04:35:25
6
jamesphilipo387
Royal jay :
achana na SGR kuna mdada huwa anachati na Messi
2026-09-18 09:17:49
3
6andy11
Andy :
menashindwa kuelewa
2026-08-02 11:16:52
5
m1ss_sabrina2
M1ss_SABRINa❤️👌 :
Maliza kushangaa nikwambie Zai lissa ana ndoa tatu kwa mwaka mmoj😂😂😂😂
2026-08-29 23:26:00
2
esteraron84
FOLLOWERS ❤️❤️ :
shangaa sana bado hujaambiwa kuna wengine waliibiwa mizigo
2026-08-28 05:56:09
2
fatmakimwel
c.o matoloka,fc⚽ :
muheshimiwa taarifa
2026-08-08 12:39:53
2
janety.loty
Janety Loty :
musimwambie tumefika twenty six 2026 😂😂😂
2026-08-04 06:28:20
3
saidjumanne445
SideBoomz_tz :
una taarifa kuwa raisi wa Sasa hatukumchagua alijichagua yeye
2026-08-04 06:42:23
5
user3829613245561
𝐟𝐞𝐭𝐭𝐲🎀❤ :
maliza kushangaa nikuambie deni la taifa limefika kilioni
2026-08-04 22:42:23
4
mzee.ally1
Mzee Ally :
😅😅😅 first
2026-08-02 11:16:09
3
To see more videos from user @chiefkyando, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About