@sirizaasili: Safari ya Maisha kwa Kipande cha Chumvi 🦌 Wakati mwingine, kilichoonekana kama kipande kidogo cha chumvi kinaweza kuwa tofauti kati ya uhai na udhaifu. Kwa mbuzi wa milimani, safari ya kukipata ni ya hatari, lakini ni muhimu kwa maisha yao. #SirizaAsili #MountainGoat #Wildlife #Nature #AnimalFacts
Siri za Asili
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 11:24:43 GMT
Music
Download
Comments
Sir_leh🇹🇿🇴🇲 :
hivi hawa mbuzi wa milimani huwa hawafugwi?
2026-08-02 13:27:40
3
Gobore Gobore :
mbuzi awa wanaliwa kweli
2026-08-03 08:05:15
1
mkolosai :
nice nmeipata
2026-09-09 08:38:45
1
martingeorgenzali :
Story Zako ZafundishA Xana
2026-08-02 11:47:37
1
Abdulkarim kalama :
pamoja kaka
2026-08-03 18:02:44
1
Tangawizi :
kwa siku toa hata mbili mi nainjoy sana kukusikiliza
2026-08-02 14:34:43
2
ma2pa🤚👊🤫..! :
hajab kabisaaa daa anapand milimaa😃😃😃
2026-08-02 11:36:12
1
user5039974068198 :
kabisa wa ASILI Tz no1 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ukopoa sana
2026-08-08 15:41:11
1
Masanja darushi :
ila vp wanaliwa au
2026-09-27 17:44:22
0
suleyman :
Hivi kwann kwenye kuvuka mito wadogo wanaweza kuliko wakubwa maana niliwah Angalia documentary ya nyumbu aisee kuna time wanabak madogo tuuh
2026-08-02 13:12:43
1
gamba la mamba :
napenda sana stoli za wanyama
2026-08-14 07:51:16
0
𝐃𝐀𝐍𝐆𝐎𝐓𝐄 👣 :
asee hizi zikiwa bongo nakuwa millionea😅😅
2026-08-05 09:12:17
1
zenji green :
Wao kila Safari ina Malengo
2026-08-02 12:41:50
0
MUBAH :
CR7
2026-08-04 13:15:07
0
Alvin :
Walijuaje Kuna chumvi....😳🥺
2026-08-02 14:28:00
1
Messi_10 :
Nlikua na fanya nin tena huku😏
2026-08-03 19:19:45
1
Fahym02 :
Eti na hiki ndicho walicho hatarisha maisha yao kukitafuta😂
2026-08-03 19:34:38
1
Mr lonely :
🥰🥰🥰
2026-08-02 11:36:51
1
Mr UsDt :
🤝🤝🤝
2026-08-02 17:13:09
0
Mr Benz🚛 :
😇😇😇
2026-08-18 17:37:16
1
Brigh_tz12🇹🇿 :
😁😁😁
2026-09-29 18:16:58
1
To see more videos from user @sirizaasili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.