Mnatuchanganya na haya mambo ya kiroho bwana, MUNGU ATOSHA
2026-08-02 13:13:29
28
*Miss fauster* :
oooooh my God asanteeee
2026-08-02 17:36:43
1
qunie :
kiufup mim nikienda sehemu ingine iwe mkoa au nyumba mpya na sali tu Ee Mungu eneo la mahali hapa likanipokee anga likanikubali itume hiyo damu ya yesu kwa maana kuna roho kama anavyo sema dada hapo yanyamazishe hayo maroho mweke roho Mtakatifu atawale hapo sasa kama ni nyumba nilisal iv Mungu najua hapa palikuwa na mtu akaondoka na sijui kaondoka je natengua laana za mahali hapa naomba baraka zako ndan kwangu yoyote atakae kuja kwangu akiwa na shida akatoke na msaada atakae kuja na njaa atoke ameshiba nisikose unga wala maji wala mafuta nisiwah lala njaa niinulie watu my dear na hushuda mweke huyo roho Mtakatifu kwenye pande kuu nne za nyumba au ukuta sasa nyie kaamshen mizim ya hiyo eneo
2026-08-02 17:16:54
11
RICHMOM STORE๐ :
mbona umechelewa ndo nimeingia Leo๐ข
2026-08-02 12:11:49
10
ESMIRA_COSMETICS๐ :
Na Kama nimeshaingia je๐ณ
2026-08-02 12:37:36
4
Felix Jose๐ฏ :
nilicho gundua kwenye hii Dunia kila mtu nimchawi ila inategemea uchawi wako unautumiaje
2026-08-02 18:59:28
2
โจ๏ธDaynamite Sparkle โจ๏ธ :
je biashara eneo la makubur,au lilokuwa na makuburi inakuawaje
2026-08-02 11:40:49
2
Lorah ๐๐ฉท :
Jmn tulio amia tyar tunafanyaje ๐ญ
2026-08-02 12:27:58
6
simply_bridgit :
na vipi ukinunua eneo unataka kujenga makazi yako unatakiwa kufanya nini
2026-08-02 17:23:09
0
Sweetbell lolo :
Umeongea Point Sana Mungu Akubariki Sana Kipenzi ๐
2026-08-02 14:27:37
3
suzanamalaki :
Umenifumbua macho
2026-08-02 11:41:14
4
Jryn :
Bana Damu ya YESU inatosha
2026-08-02 13:48:24
0
NYTOH :
hii ni kwwli kabisaaaa.
2026-08-02 11:43:07
3
zee๐น :
Utakumbuka hilo agano baada ya kupata hizo hela
2026-08-02 13:33:02
2
queen :
wakwaza leo unijibu unasimama katikati ya chumba fremu au eneo na unaacha hiyo zawad kwa mda gani
2026-08-02 11:54:52
0
fettie :
My km tushahamia inakuaje
2026-08-02 13:07:21
1
hernice :
mm nakuelewa sana hata kwetu Kuna vitu lazma tutoe taarifa kwa wazee ata kama unataka kumrithisha mtoto jina la mtu kama alishatangulia lazma aambiwe akikubali ndio mtoto atapewa hilo jina
2026-08-02 14:22:18
2
Mulan_ cosmetis_arusha :
Nakuelewa sanaaa๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-02 11:45:21
2
Black :
Asante sana madam, hii post ni kwa ajili yangu ๐
2026-08-02 11:40:09
7
mr_planerโ :
Hii ni fact
2026-08-02 11:39:58
1
jigi :
asante,na jee kwenye nyumba yako ulioijenga utasemaje
2026-08-02 17:36:59
0
๐ฆ๐ฅฐLunacrochet๐งถ๐งถโ๏ธ :
nikwel kabisa mm niliwahi ulizwa swal na watu siwaoni nikaona kama masihara weuh niliumwaje ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ mpka kujua nikaanza kuwapa zawad mpka siku naondoka kwenye nyumba ya watu niliaga
2026-08-02 18:09:49
0
norahmike509 :
Duuu! siku wakitaka Damu jeee๐๐๐๐
2026-08-02 17:46:49
0
Beauty by Nshoma :
I hope ukiona hii msg utajibu wengine wanapikaga chakula wanaita watu wanakula kwenye ilo eneo la biashara ila anakua kesha nenea maneno kabla ivi ni sahihi,
2026-08-02 17:54:40
0
Shejuma :
kabisaa
2026-08-02 12:37:59
0
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm
homepage.