huyo mtu akiwa na akili anarudi na anakushinda na point maana hapo anarudi anakuambia Hela haijanifikia wewe utamjibu mtandao ulikua na shida au utamjibu Hela zako ni hizi yeye nae hatokubali atasema alikupa Hela kamili Hadi ukakubali kumtumia Ina maana ulijiridhisha Hela ipo sawa so inakuaje saa hivi umuambie vingine usijione mjanja kwa Hilo
2026-08-03 17:24:27
22
♥️ sheyllah..🥀🦋 :
akirud usimpeee
2026-08-02 12:14:27
16
rukia kione :
mwizi kaibiwa
2026-08-27 02:45:02
6
Рей Асель :
ndio maana mimi uwa sitoi huduma kwa mteja mwenye haraka
2026-08-03 08:27:21
19
@ramadhan n_h :
Huyo mwezi unakuta mwenyew abaiangalia hii video 🤣🤣🤣
2026-08-27 03:49:06
5
J'S SYSTEM✍️✍️ :
Pole sana dada angu pia hongera maan me nilikuwa napoteza hadi 5K mara mbili kabisa hadi nikawaza kuacha kazi tuu😭
2026-08-03 07:17:58
5
Marygoreth KBM :
Hicho kitu ni Roho Mtakatifu
2026-08-30 14:44:06
1
💕💞shami love🥰 :
daah ata sijaelewa🤣
2026-08-24 12:51:48
1
johary home decor :
Nilitaka kucoment Ila bando langu limekata😂
2026-08-25 11:24:09
4
shymaa :
asante dada. from kenya
2026-08-28 05:17:54
1
mwigulu zengo machiya :
hogera
2026-08-03 12:23:12
2
lighty❤️ :
Na sisi tuliolike tupewe gawio😂😂😂
2026-08-24 03:20:33
4
a_man_Tz :
Una bahati nzur ila uwe unajiandaa kwa vita wakirudi huwa wanakua wakali sana
2026-08-03 09:20:23
11
Baba boyz :
Dada ongera sana Mung akutangulie na usiaache kusali..
2026-08-27 20:53:36
5
Ester clean045 :
nilituma laki 8 nikaachiwa laki 2 mchezo ni huo huo, hongera sana kwa kua makini
2026-08-28 18:45:03
3
Ally Mkingame :
pole .kwa changamoto dada .wezi sasa ivi ni watu wazima .ovyooo
2026-09-02 11:03:01
1
majaliwa17💪💪 :
#Aise kwanza pole sana ila kama aki rudi mchukulie atua kwanza.pia ongera na MUNGU akubariki.🙏🙏🙏
2026-08-05 13:09:10
5
✨️😍 CHOSEN EJOMY😍✨️❤️ :
wewe usile hela yake Bali mtumie ichoichokiasi alichokupa maana kumbuka hiyo hela ameshamdhulumu mwingine ndio ikafika kwako na aliyedhulumiwa Kuna machozi amelia na Kuna maneno kanena wakati analia kwa uchungu🙏
2026-08-04 21:14:20
7
Sweet baby Baby :
Pole sana
2026-08-18 19:12:44
1
𝐬𝐰𝐚𝐥𝐥𝐨 𝐌𝐂 :
umeona unitangaze😂😂😂mrembo
2026-08-12 10:48:20
2
Issa Mandoa🍁☠️ :
Ongea halaka halaka mb zitaisha dr.
2026-08-24 09:26:40
3
Rehema Charles :
pole dada na hongera kutuelimisha🥰
2026-08-26 11:38:44
3
comedycen7 :
Dah jamaa uko walipo kama nawaona 😂😂
2026-08-22 18:09:50
5
ummy bby❤️🩹 :
me alikuj mtu anatk kutum 2m nikamwambia sin salio kumbe hela bandia aliend kukamtwa nazo huko
2026-08-23 05:55:54
3
To see more videos from user @omarymadenge8, please go to the Tikwm
homepage.