uchawi upo ila tiba yake ni Dua kumuomba Allah na kumtegemea yeye
2026-08-02 15:17:31
50
Martha_ndosi :
nipeni kiti kwanza niwahadithie yangu ni mazito
2026-08-02 19:05:51
13
ochu_urimbo :
mimi ikiwa ivyo naenda kuishi ivyo ivyo
2026-08-02 18:52:35
14
FIRE EXTINGUISHER TANZANIA :
vitu vipo sana
2026-08-02 14:29:36
4
Diani Beach Lifestyle :
acha Shirki Azidishe Dua na Uradi na swala tano na pia Swadaka na Atie nia kujenga atamaliza kwa uwezo wa Allah
2026-08-02 21:40:13
11
NAWALE 💤 baby shopping 🛍 ✨️ :
Mungu yupo pia
2026-08-06 07:10:35
1
Agnes Mwatela 🇦🇪🇰🇪 :
awe pole sana 🥲🥲🥲🥲
2026-08-03 12:24:55
1
user8701425741829 :
rabtwi 😅
2026-08-03 12:16:00
1
rehema87 :
Mimi nakataa yy angejenga vyumba viwili na seble mambo yasiwe mengi angeongeza chumba kimoja kimoja wakati ameshahamia tayari
2026-08-03 15:13:39
1
thumu :
yangu pia imefika hapohapo aki pesa hatushikii hadi huruma
2026-08-02 18:38:03
4
mwarii wa wambugu :
huyu ni kama Mimi haki
2026-08-02 23:06:33
0
Baraka Dreadlocks :
wale tunao muamini Yesu krsito hatuna wasi wasi
2026-08-03 12:00:12
2
Mona🧿 :
Sina hamu mimi🙌🏻🥹
2026-08-03 15:16:44
1
mrs ibrahimu🥰 :
ndio maana mm mambo yangu nayafanya kimya kimya sitak ujinga
2026-08-03 06:16:51
8
abubakarsuleiman719 :
Sio uchawi ni hesabu tyu kaka,mfano budget inasoma vyumba viwili wew unaanzisha ujenz wa room 4 kisha bunda linakata kisha uje useme uchawi 😂😂😂
2026-08-03 09:28:54
1
Kenan :
Sio Uchawi..ila Ukianza tu ujenzi bas jua mzunguko wa Pesa na wewe unapungua na ukijichanganya Unaweza kukosa kabisa pesa
2026-08-03 19:40:05
1
sky walker🇰🇪🇶🇦 :
Kujenga si rahisi 😂 wala si uchawi,pesa ya nyumba ni pesa ambayo huna kaz nayo imekaa mahali tu
2026-08-04 22:56:46
1
🌻Marii🌻 :
Mi nashauri amka saa nane usiku sali lia na Mungu bhas
2026-08-03 06:49:27
0
Rehema Mpanda :
Dawa ni Maombi tu🙏🙏
2026-08-02 19:40:37
1
dax electronics :
ukitaka kujua kwann miradi ya serikali inachukua muda kukamilika anza ujenzi ndo hii
2026-08-02 17:32:03
0
christine :
Ndio nayatoa wapi jamani
2026-08-02 17:53:06
1
MAYA :
Naogop mait ayo maji nitawewesek mpk niumwe juz tu hp nime beb maji ya mait ya aunt yangu nikamwage ckwenda choon mpk nalud 😭😭😭
2026-08-02 15:16:35
3
DESMO SIMON :
Ukielewa kuna kupanda na kushuka pia kuna kupata na kukosa miaka mitano sio kitu. Shule kuna ile point ignorance and superstition Kama Pete na kidole huo mda wa ku deal na ushirikina tunao kweli ni Kama wale wanaokesha kukemea mapepo kila siku
2026-08-02 18:54:00
2
cuppichino :
hii nyumba zaidi ya miaka mitano..
2026-08-02 23:32:23
1
MICK ZEGU :
miaka mitano mbona michache
2026-08-02 22:59:02
3
To see more videos from user @doctmuutibaasili, please go to the Tikwm
homepage.