@wepesitv: Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametangaza rasmi kujiunga na Klabu ya Young Africans (Yanga), akisema uamuzi wake umetokana na imani aliyoipata kutokana na Uongozi wa klabu hiyo. Chalamila amesema awali alikuwa na mashaka kuhusu uongozi wa Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said lakini kwa sasa ameridhishwa na namna klabu inavyoendeshwa. “Mwanzo nilikuwa na mashaka na urais wako, Injinia Hersi lakini sasa nimejiunga rasmi nikiwa naamini nipo mikononi salama, pia ujio wa Peter Shalulile ndiyo umenifanya nijiunge na Yanga,” amesema Chalamila.

WEPESI TV
WEPESI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 12:00:15 GMT
2646
69
2
2

Music

Download

Comments

paulo.boniface1
Paulo Boniface :
Hakuna kitu hapo
2026-08-02 13:23:27
0
adammuki696
muki :
tusikuone pale timu yetu ikicheza
2026-08-02 14:30:19
0
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About