Dar kazi zetu ngumu. Kuondoka salama kurudi majaliwa.
2026-08-03 11:22:53
5
Baziliuc Vianney :
cathr wangu mungu akuweke mahala pema
2026-08-05 19:51:41
2
Joel juniour07 :
R.i.p dereva tupo nyuma yako pumkzika kwa aman
2026-08-04 17:22:49
5
Mrs💃❤Masawe💚🫂 :
apa ni mkoa gan ajali ilipotokea
2026-08-04 12:12:17
3
Benson Elisa :
ajari imetokea wapi
2026-08-04 10:27:51
3
gelshon richard :
kila nikiona hii machozi sijui yalikotoka
2026-08-05 09:52:44
0
maope.khan🌍 :
daa 😭😭😭
2026-08-04 10:18:10
1
carren :
eeeee mung tulind sis wanao katk pita pit zatu
2026-08-04 15:11:28
1
Andrew Kizito :
dah,, poleni sana🙏🙏
2026-08-04 13:30:52
1
c.e.o BRONICK :
daaah jamani
2026-08-04 20:09:12
1
mrs mash :
poleni
2026-08-03 08:48:30
1
faith girl :
poleni sana jmn mwenyez mungu awaponye
2026-08-03 15:49:12
1
inosent :
polen san
2026-08-04 07:51:38
1
Ma Mpenziii% :
poleni san ndugu zangu
2026-08-04 13:20:22
1
utonga 87 mikazoni :
pumzika kwa amani
2026-08-02 14:35:18
3
Ralph baddest 26 life :
vijana tunakufa wakati tukipambania ndoto zetu mwenyezi mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
2026-08-04 19:22:12
2
kazaura :
pole sana wafiwa,ila nashauri sana madereva haswa wa malori na mabasi ya abiria chonde chonde tupunguze viburi vya kutofata alama za barabarani
2026-08-04 15:43:44
1
Norat🥰 :
MUNGU awalinde madereva kubeba roho za watu na kutembea kwa vyombo vya Moto na kuwa salama, anaekufa na Sisi hatuna tofauti MUNGU atupe Moyo Mkuu na mwisho mwema 😭😭
2026-08-04 19:09:24
1
Aserd James :
Ajali imetokea juzi Dodoma hapa wilaya ya bahi
2026-08-04 19:12:19
1
To see more videos from user @junior09054, please go to the Tikwm
homepage.