Mimi nikiwashwa mkono wa kushoto najua kabisa nitapata hela na nitapata
2026-08-03 18:39:04
8
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Unaonaaaa….aaah sioni😅🤣😂
2026-08-02 19:23:31
3
mikamadulu :
hizi issue za spiritualism lets abond with it especially us Christian
2026-08-02 18:39:42
1
Mwamvita 222 :
sipend unaon napenda sioni
2026-08-03 16:12:52
1
ALEXBOY👑 :
sioni
2026-08-14 07:52:12
0
BujibaTz@ :
Tag me full part jinsi ya kufanya telepathy
2026-08-02 13:29:49
1
victory :
mkono Wang wa kulia ukiwasha bhc natarajia kupokea,. wa kushoto bhc lazima nitoe au nipoteze
2026-09-18 03:21:23
0
phascents_Glowhub :
mi mkono wa kushoto ukiwasha nikiandika hela ambayo nahisi nina uwezo wa kuipata au kupewa naandika na ninapata ile ile kabisa au zaidi na nafanyia vitu vya msingi ila kulia ukiwasha napata hela sawa ila inaisha bila chochote cha maana au natoa kwingine
2026-08-15 06:34:57
1
honestman :
😂mm iliwashaa sana nikaja kujibonyezea nyezea tu bila ata kujua weee kwny forex nilipoteza ka laki mbili iv na naijuwa forex kabisa duu nilivyoenda kanisan mpaka sasa aiwashi
2026-08-04 05:08:17
0
mtandu@ :
😁😁😁
2026-09-02 05:35:09
1
To see more videos from user @rusubithomas02, please go to the Tikwm
homepage.