mtume alituombea mungu atusamehe asituadhibu uku duniani asubiri ad iyo siku ya mwisho ila sasa ndo naanza kuelewa kwanini mungu alikua anatoa azabu uku uku duniani ni kwaajili tu ya kutokomeza raana na kubakisha waja wema.. ee mungu tupe Iman ya kuvumilia kusubiri adhabu yko kwa awa watu wako kabla ya kuwaadhibu sisi🥺🥺
2026-08-04 12:07:56
27
Twiga🦒🦒 :
mbona kama mwenge hauna uhuru 😂😂😂😂
2026-08-03 20:46:48
31
omybebe1♋️ :
Kumbe ndo Maana hakuna wanaume wa kutuoa 🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 10:37:23
15
totozuli og💞😍 :
mungu nixamehe mimi kw kuangalia hi vidio😭😭😭
2026-08-04 14:11:43
6
lilvonny🌹 :
Tutaona mengi mwaka huu🙌
2026-08-05 15:26:10
8
Jai Hō :
Wanangu tukaze tunacheza punguf
2026-08-06 16:00:36
7
mimah ❤️ :
hii dunia kuna sehemu imetoboka🥺🥺
2026-08-03 17:43:09
10
Pablo🌴 :
Daslam Mamaku wamezidi
2026-08-05 05:25:12
0
Aldentity 🦄🦄 :
nanyi hamtajua siku Wala Saa yesu atakapokuaja kutuhukumu sisi mwenye dhambi 🙏🙏🙏
2026-08-02 22:09:27
8
raisi :
nimeangalia x1000 alafu nimekosa la kusema
2026-08-03 14:33:45
1
j.onceagain :
wa sensa hv wanapitaga lini jaman🤔🤔
2026-08-04 21:32:51
2
LAND TZ :
aise haya bwana
2026-08-04 11:18:42
2
Fatuma Ally :
mbona kama chadema imeshukulu😁
2026-08-04 19:48:18
2
Am BenzoEmpire🔕 :
tumswalie mtume
2026-08-05 13:52:44
4
ney🌹🦋 :
naona CCM Itoke madarakani kwanza 😏
2026-08-03 19:47:47
3
To see more videos from user @exlavibe2, please go to the Tikwm
homepage.