Shd yahawa wanafananisha gari na chombo cha usafiri
2026-08-03 15:46:16
0
streetking👑 :
😂😂😂😂 subutu apo umejikimbiza mwenyew uwo moto achana nao umempita hakuwa kwenye kushindan
2026-08-03 05:21:25
0
Protasi Chiwila :
kwaiyo bro Kwa uzoefu wako mtu unaeshindana nae unaweza kumpita kwa 170kph ? 😀😀 kua serious
siku nyingine lete speed za wanaume 200+ izi under 180kph waachie wadada WA Rush,wish na vits
2026-08-03 07:15:47
0
@king_reuben :
ILO basi lilitikisika kidogo😂😂
2026-08-03 06:28:10
0
𝐃𝐞𝐞_𝐉 :
300 ata alikua Hana habar nae kama kuna mtu anafanya nae ligi 😂😂😂