pia kuna deni la Taifa adi sasa lipo upwilion linaelekea kwenye zwilion
2026-08-30 07:37:39
739
team Em. :
na alipita kwa kishindo kuliko ata baba wa taifa
2026-08-27 20:09:25
770
D.. $∆nity :
Tulishtuka tu nchi imevishwa Sketi
nchi inakojoa ikiwa imechuchumaa mara nchi Ina maziwa duh niache nachanganyikiwa mjukuu wangu
2026-08-28 17:08:40
526
halima daudi :
maliza kulia nikwambie kua tulipigana wenyewe kwa wenyewe
2026-08-29 08:09:23
484
SheizTara🌟💫 :
Maliza kushangaa nikwambie kuwa 29oct nilimpoteza mume wang na sijamzika tumezika nguo nikapata na uchungu apo apo mwanang akamfata baba ake bila kusahau nilishuhudia rfk ang akipigw risas tuliend kutaft dagaa nae mpk Leo atujui mwl ulipo😔🙌
2026-08-31 12:05:37
448
Z26% :
NALIZA kulia nikwambie Deni la taifa limefikia dwilion 2000000000.9999999999999 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-27 15:33:49
231
cux :
aaah ilikuwa hivii jxisggheondbzyxbbisgzbxjzososbbxtyzsjsbdyzushvsuuzvbsk alivokufa ndo jdhdus skskhxhd dgsusbd d akateuliwa kuwa rais
2026-09-01 11:03:36
1
Tina Rambert :
hiyo emoj😅😅
2026-08-31 17:24:34
0
Dyan💕 :
maliza kulia nkwambie kwamba mdogo wangu wa miaka 9 alipigwa risas🥹😭
2026-08-31 09:43:17
150
felder :
tuliambiwa tukae ndani na mitandao ilizimwa tulipo ruhusiwa kutoka na mitandao ika washwa tukaona kwenye taarifa ya habar ndyo anatangazwa rais ,ni hivyo yu
2026-08-26 23:39:58
525
Ninah Osborn :
Hahahaaaaaaaa
2026-09-02 05:34:07
0
💦💦Shamsa queen💦💦 :
Ata sisi atujui tuli ambiwa tusitoke ndani siku 7
2026-08-30 20:50:59
50
Lucie🖤💖😘💫 :
maliza kulia nikwambie kuwa kura zilihesabiwa na watu hawakenda kupiga kiufupi kura zilikuwa nyingi kuliko idadi ya watu wa tz nadhani walihesabu mpk majirani zetu 🇰🇪
2026-09-02 06:45:48
6
Imma🥂🗨💙💔 :
😂😂😂 atasisi hatujui mkuu
2026-08-21 16:32:22
7
MOON WALKER :
magufuli sijui alikua anawaza nn kipindi kile😁😁
2026-08-27 07:15:21
326
Miss P💕 Tz :
Maliza nikwambie kila sk makam wa rais anajiuzulu 😂😂
2026-09-02 08:15:18
7
maua :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa
2026-08-29 08:08:07
29
scola mc25@$ :
tuliambiwa tukae ndani tulipotoka tu ndo ikawa hvyo,🤣🤣🤣
2026-08-23 16:02:11
145
Vicky Valery :
Maliza kulia nikwambie kila mtanzania anadaiwa milion 1 na hatujui tulikopa lini
2026-08-30 16:14:54
25
To see more videos from user @kataa_wa_huni, please go to the Tikwm
homepage.