@mzimu_kafanya_na_hi: Replying to @macheda_beat 👐🇹🇿 | Full beat Kwa Ajili Yenu Wanangu Imbeni Mtakavyo 👊 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #Duet #fyp #views

𝐌𝐳𝐢𝐦𝐮_🇹🇿
𝐌𝐳𝐢𝐦𝐮_🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 14:40:04 GMT
19989
1582
99
77

Music

Download

Comments

moteca19
mdolly moteca 1.st :
sijawahi kukupinga ata siku 1 kaka
2026-08-03 14:47:16
3
mweupemc
MWEUPE MC :
kaka nimeimba mpka najikuta nalia mwenyew daaah mapenzi sio
2026-08-29 08:52:42
3
khani.wa.khaniki4
Khani Wa Khaniki :
nakaa kabisa humu tufanye Jambo basi muzimu
2026-08-03 12:21:31
2
fizo_voicetz
Fizo Voice 👑 :
napita Umu mkali
2026-08-02 20:14:16
1
captain.ahmady.da
captain ahmady dangote 17 :
umu mi naua ira tatizo sauti ya biti iko chini kk
2026-08-28 12:19:17
2
ammyzaidy
Ammyzaidy :
ila kweli ww ni mzimu nikisikia beat zako nakuaaga niko na pata wazimu
2026-08-22 18:04:52
2
king.twalipo
King twalipo :
MKALI WW
2026-08-05 08:10:28
2
hatibu.hamza0
Hatibu Hamza :
kuishi kwingi 🤔ndo kuona mengi😌 mama aliniambia🕺🕺🕺🕺
2026-08-05 10:58:40
1
usertengo2
Tengo OG :
hii beat kali sana sas ngojen muone nitakavyo ifanya
2026-08-30 04:02:07
1
77ndowakali.wakupoa
Abby sanny 77 Wakupoa :
@Abby sanny 77 Wakupoa:my brother nimelicholea hit Hili beat please 🙏 naitaj sapot yako Ngoma inaitwa kilio😭😭 unapatikan wap
2026-08-14 07:50:43
1
kizzy_brandy
kizzy mr heat🔥🔥🔥 :
mzimu kafanya na hii
2026-08-24 18:03:19
1
user8660283444mitindo
𝙑𝙖𝙣𝙣𝙮𝙙𝙞𝙯𝙯𝙤𝙢𝙚𝙡𝙙𝙮 :
𝙪𝙗𝙖𝙗𝙚
2026-08-03 07:43:57
1
mbuzzi247
Bebelu :
utawA BaBa🔥🔥🔥🔥
2026-08-05 18:36:05
1
msingwa95
msingwa95 :
Umetisha mzee
2026-08-05 06:41:26
1
genda.mc.tx
Genda Mc Tź📢🎷 :
nshapita nayo mkali
2026-08-02 14:53:46
1
jayvoice100
voicejay :
kaka hii nimeiludia karibu mala 5 hadi nimeandika mistari ya kuimba
2026-08-24 11:39:08
1
its.s.music_og
it's s music_og :
Mkali ww🔥
2026-08-03 08:13:42
1
chotarawakusini
chotara wa kusini :
Kali mzee
2026-09-09 13:32:49
0
tanayzer
Bbway tanayzer :
Familia kubwa
2026-11-09 20:26:05
0
huntermusic18
music hunter 🎶 :
ishatoka hii beat
2026-10-22 08:49:25
0
sam.d843
Sam D :
daaah nimeona video zako leo lakini. nikama ni s2kzy wa uswahilini noma sana kaka 🤛🤛🤛🤛 wataacha ndala humu ni 💥💥💥
2026-10-14 19:12:51
1
user3287587844009
saidy ,s, asha! bale! :
kaka hii ndo kali kuliko zote
2026-09-19 18:12:31
2
p_voice_tz
✨ 𝖕 𝖛𝖔𝖎𝖈𝖊 𝖙𝖟 🎤🎶 :
p voice tz anajua is out now on YouTube please subscribe like and share 🙏 #singeliladha🥰
2026-08-22 10:55:08
2
amaningatumbara
Amani Ngatumbara :
beby wangu aodi vidali anaoda miguu ya kuku, anawasha kibatali ata ukikatika Luku, oumbii Malaki anaombaga bukuu tuu,, bebe wangu mie 3 🫣🫣♥️
2026-09-17 16:10:16
1
mo.baddy.mc93
warambeshi Mo badd mc✅️ :
mzimu pokea kk nakupigia
2026-08-02 15:36:51
1
To see more videos from user @mzimu_kafanya_na_hi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About