@ali_wisdom: Ee Mwenyezi Mungu, mimi nimeridhika na yote uliyonikadiria. Nifundishe kuipokea hekima yako kwenye kila jambo, hata lile ambalo moyo wangu haukulielewa. Nijaalie amani ndani ya nafsi yangu.Usiuache moyo wangu ushikamane na huzuni, bali ujaze matumaini ya kile ulichoniandalia. Kwani najua kuwa mipango yako kwangu ni bora kuliko mipango yangu mwenyewe. 🤍 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 15:11:26 GMT
3015
246
1
41

Music

Download

Comments

coreankid
Chen Zhen ♐️ :
..✍️
2026-08-02 15:51:00
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About