@mrvision40: Replying to @user8369480346778

𝗠𝗥 𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡👁
𝗠𝗥 𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡👁
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 16:04:27 GMT
31111
1719
305
38

Music

Download

Comments

user6179181462910
girlone :
Let's break up💔💔🥺🥺😭😭😭😭
2026-08-03 06:32:46
0
influencerhussei7
Influencer Hussein😎😎😎 :
l love u my son
2026-08-03 09:01:48
0
user8253491365417
zai@123na :
just move on
2026-08-03 13:03:32
0
wedder2181004149927
🍁🦋nasra🦋🍁 :
nope kit nikae kwanza man nimechok
2026-08-03 18:53:51
0
krispet3
krispet :
just move on🥹
2026-08-02 17:27:56
1
wille4912
wille :
mbon sin mume
2026-08-02 16:09:50
1
captain0674267
Captain Dullah 💯 :
Naolewa lakini nitakupenda daima 😂😂😂 huu uongo haunitoki kichwani😁😁✌️
2026-08-03 12:01:26
10
user48268432467372
reycute :
ye ndo alinitongoza lkn anawaambia marafik zake me ndo nimemtongoza ety🤣🤣🤣
2026-08-03 14:57:27
6
ritha8591
RITHA FRUT CAT🫐🥒🍌🍉 :
kujipa umuhimu ambao sikupewa ooh sitasahau na sijui kam nitapenda mtoto wamtu tena
2026-08-02 23:54:56
7
user2843987807669
akii sta27 :
uzuri mimi hakuna ex alie kaa kichwani mwangu ila waoo hadi kesho wananitaftaga 😊😊
2026-08-02 17:47:46
6
user48180625707292
Vannybwoy :
nilimuuliza vp upo bz akanambia amna bc nikamwambia njoo apa tulipokua tunakaaga kila siku akanijibu siwezi kuja nipo nyumban afu uko ni mbali. kusema ukweli sikujibu tena mpaka leo hii japo niliumia sana😭😭
2026-08-03 13:59:35
3
0fficial_0scar
𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤 :
Kwa sasa sina hisia na wewe 💔💔
2026-08-02 17:38:50
22
pauseph163
Paulina Derick :
tiachane mara ooh sipo siliaz na yeye
2026-08-02 16:53:53
2
user79863284035012
💍Pînk* 🦋 Lovely💎🧸🍃 :
Nimèkaa2 Nawaz MUNGU àtanipà mtu sahîhii lini😂😂
2026-08-02 19:08:00
9
user5518469270610
Godson mkali :
kuomba kuacha kazi boss wangu akanambia nitakurudisha Kijijini akawaita wazazi wangu nakwambia mim nishoga mpaka Leo inaniuma Sana wazazi wangu waliumia mno
2026-08-02 21:20:32
6
maggrethstan
Maggie :
sema tiktok hakuna sehem ya voic ila watu wana mengi ya kusema
2026-08-03 17:15:15
4
abuu.ayrah
Abuu ayrah :
tuliachana akanambia mme wake hana ela ya kununua shela nkampa ela badae akanmbia ntafute elaa tajiri hasemwi🙄😥
2026-08-03 11:13:22
2
festo.mathias7
🫴FESTO🇨🇩🇧🇷🇺🇸 :
Nilimwambia natamani uwe mke wangu unizalie mtoto akasema kwa watoto gani hao, daaaah nililia sana 💔❤️‍🩹🫀😭😭 mpaka sasa stamani tena kupenda.
2026-08-02 17:58:34
9
edithakibaya
editha kibaya :
au nikupe tu rafiki angu ndo uwe nae kweny mahusiano😭😭mpk sas lipo kichwan guys
2026-08-03 11:30:49
3
user985194466220
XUNA BADY 1234 :
hajal chcht kuhus mm
2026-08-02 17:25:55
1
jeskamahali208
jeskamahali208 :
nliambiwa nakutumia tu ila kusema kweli skupendi hat 🤌
2026-08-02 18:30:36
1
wakupxqxbl0
Ybeez :
nakupenda ila jitafte kwanza ndo uwe na mimi😭😭
2026-08-02 17:31:24
1
thom09072
thom~¥ :
we siyo level yangu
2026-08-02 19:11:31
4
user4414133605445
daughter'sheart❤️‍🩹❤ :
nimeishiwa hata pawa ya kuandika hiyo sms daaah🥹🥹 that moment uwiii
2026-08-02 18:16:08
2
alfredikawimbe45
My king🤴 :
Et namtania simpend 😭💔
2026-08-02 16:24:14
1
To see more videos from user @mrvision40, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About