@foxeextra: UGOMVI WA MKE MKUBWA NA MDOGO KUGOMBANIA MALI #movie #Matukio #reelsvideoシ #foxetv

FOXE Tv
FOXE Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 16:34:29 GMT
143289
4115
845
528

Music

Download

Comments

ts_heaventz
mamie💞 :
mke mdogo anavosikiliza kwa makini kama mtu vilee😂😂😂😂🤣
2026-08-03 06:19:33
130
user7130412993223
christina :
vimanteni
2026-08-03 16:24:16
0
nawwal.ally5
Nawwal ally💕 :
Haya ndio madhara ya mume kuowa mke kwa siri
2026-08-03 02:40:30
164
kalpanah222
kalpii😍♥️ :
Kila mtu akae na zile mali alizokuwa nazo
2026-08-03 05:31:21
134
chora6287
Chora :
mali za mkubwa mdogo anaonekana mwizi
2026-08-02 23:26:47
96
iptysam_akram
iptysam aziz :
Staged
2026-08-03 09:21:59
0
gladysmjames549
Rehema Roween :
mama aione series ya the polygamist
2026-08-03 10:44:51
0
jackie07118
Jackie :
ndo shida ya kuvumilia ndoa zisizoeleweka😏😏
2026-08-03 06:02:21
59
ozanozan966
ozan :
ndoa ina miaka 35 😂 ali olewa na miaka mingap Sasa na apo ana miaka mingap 😳 🙌🏽
2026-08-02 19:40:01
48
faizalyimo
faizalyimo :
Kila mtu amiliki mali alizo chuma nae Kama hujui mali zake kaapembeni
2026-08-03 15:51:14
8
mhagama3
chombo wa madebe lidai👌❤ :
Ambao tupo upande wa bi mkubwa na tunamuombea apate haki yake like hapa🥰
2026-08-03 16:25:03
19
mwakalundi
Barista :
bongo movie
2026-08-03 06:11:17
0
sumeiyahswtcherrys
sumeiyahswtcherrys :
mke mdogo mwizi ataje huo msikiti aliofunga ndoa wakaulize...
2026-08-03 00:58:57
55
dijjah450
DIJJAH 🦋🦋🦋 :
ILE KAULI YA MKE WA KWANZA WA PILI MGOMBANISHI NDO HII SASA😂😂😂😂
2026-08-03 07:35:42
27
user1372803731940
minka mussa :
weeeeeeeee
2026-08-03 14:33:36
0
warda.collection17
Warda collection :
Yote kayataka marehemu
2026-08-03 03:49:26
10
user28276605500665
user28276605500665 :
ndo maana mm nishawambia kwenye ndoa Kila mtu atafute mali zake hakuna Cha kutafuta mali za pamoja
2026-08-03 10:12:02
5
613fettyo
fettyommy :
mali ni za mke mdogo kiutamaduni
2026-08-02 19:38:25
11
user4135035141206
happy wambi :
hivi mfano mtu akiolewa mke wa pili kuna shida gani kupambana upate vyako mambo ya kungangania mali za mke mkubwa hii sio sawa
2026-08-03 13:49:08
10
user130230260042
zeyhamed :
vyeti vya ndoa vina tarehe kila mmoja aliolewa lini kila mtu alete chake tujue nani mkubwa na nani mdogo na kama wote wanamiliki vyeti basi wote wanahaki ya kurithi
2026-08-03 02:10:42
39
twaziwailes2
Tours :
jina la movie inaitwaje
2026-08-03 05:21:05
13
officialruky
official ruky🥰 :
shida ya kuoa siri iyo😂😂 nashkur me nliolewa siri ila usiku uwo uwo akanitambulisha kwa dada ake na alipokufa mashemej ndo wanaskia amenioa wakadai chet cha ndoa nikapeleka Alhamdulillah
2026-08-03 08:13:59
5
officialneyle
user8393265701287 :
hii ipo sana mm mwenyew imenitokea
2026-08-02 18:48:26
5
kitengokitengo1
Freedom is coming soon :
Bimkubwa ndiyo bimdogo na bimdogo ndiyo bimkubwa and vice versa is true.
2026-08-03 01:20:28
16
To see more videos from user @foxeextra, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About