@kipanyatv: kalamu episode 35 Kwenye chaneli ya Kipanya Tell a Vision Youtube. Kwa mahitaji ya Tshirts - Whatsapp 0796 829 131

Kipanya Tell A vision
Kipanya Tell A vision
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 16:35:40 GMT
336728
25154
358
571

Music

Download

Comments

ommy_brand1
Ommy_brand 1 :
mimi nisipo swali kulala naogopa sana kiufupi siwezi
2026-08-04 09:12:21
237
ibn.bardizbah
Yasin Mapinda :
for sure..
2026-08-10 16:49:18
0
zainabyasini4
ZAINAB YASINI :
napenda sana swala. jamani swala Raha sana.
2026-08-03 08:33:01
226
uzalekaima
uzalekaima :
I proud to be a Muslim
2026-08-10 20:08:49
0
aishamahmoud69
Aisha :
1. Alfajiri (Fajr) 2. Adhuhuri (Dhuhr) 3. Alasiri (Asr) 4. Magharibi (Maghrib) 5. Isha Yuko sawa kabisa mashaallah 😍
2026-08-03 06:17:08
95
hatty_jaffery
Hatty gyal ❤️ :
Me nilishaachishwa kaz kisa nmeenda kuswal adhuhuri ila maboss wa cku hz😂 ukipata muelewa ni wachache
2026-08-03 06:39:53
81
mwamposa88
Mwamposa :
Acha kudhiaki dini za watu
2026-08-02 19:54:54
16
mr_nice_guy_tz
H_brown_tz🇹🇿 :
nyote mkosahihi kimtazamo ila kipindi cha kwanza ni Adhuhuri, chapili ni Asr, cha tatu ni Magharib, cha nne ni Ishaa na cha tano ni Fajr
2026-08-03 04:25:09
22
kingdavilla0
KingDavilla :
mfumo wa binadam ni ibada kila siku
2026-08-02 21:29:29
20
mwanakombosaidi827
Call me Sosi :
Kila siku huwa namuomba Allah kila akinijaliya kazi namuambiya ya Allah nijaliye kazi ambayo itanifanya nipate muda wa kufanya ibada..
2026-08-03 19:04:24
22
nginabaruty
Ngina Baruty :
Mungu hajawahi niacha jmn,ila mvivu kusali
2026-08-03 03:23:30
12
shuu0930
shuu :
ndo mm maisha yangu yote ni miujizaa asante mungu 🥰🥰
2026-08-05 06:40:22
10
abdulwahid198017
Abdulwahid :
saa saba kipindi cha nne. sala ya mwanzo kushushwa na magharibi wengi wetu wanajuwa Alfajir kipindi cha mwanzo kumbe Alfajir kipindi cha tatu
2026-08-02 22:13:54
8
binrshid
Bin Rshid :
hakuna miujiza kwa binaadamu wa saiv
2026-08-04 15:56:25
6
jumadecorations
juma decorations :
kipindi Cha kwanza kinaanza adhuhuri na chapili ni saa kumi na Cha tatu madharibi na Cha nne saa mbili na Cha Tano asubuhi hivyo ndio vipindi vya swal
2026-08-03 06:00:54
5
nandule_jr
Nandule_jr :
Saa 7:00 nikipindi cha 4 sakumi ndokipindi chamwisho katika siku magharibi tunaanza sikumpya kiislam nandokichakwanza saa 12:
2026-08-03 10:04:32
5
uwasekabendera
uwasekabendera :
Maisha yangu ni miujiza tosha kabisa ❤️❤️❤️hasbunallah waneemal wakil
2026-08-03 07:36:43
13
user19244fizoy
fadhili% :
Wallah ndugu zangu uislamu ni neema kubwa sana
2026-08-03 07:46:50
6
hadija.ibrahimu1
Hadija Ibrahimu :
SWADAKTA UKIWA NA MUNG UTAISH KWA AMAN.SANA
2026-08-03 05:42:12
8
mahame2.com_tz
mahame :
Sasa leo umeniongelea, maana watu hawana imani na Mungu.. ila uki focus na Mungu, hakuna kufeli.. hakuna wakukusumbua...
2026-08-03 04:32:33
7
meso.ai_editor
meso.ai_editor :
Bro uko sahihi kama mi niliamua kuishi kwa imani yangu kutoka kwenye ukoo na sijawaji kusumbulia na kitu chochote 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-08-02 17:00:39
7
abdullazaqjuma3
abdullazaqjuma :
katika mpangilio wa swala adhuhur ndiyo kipindi cha mwanzo.
2026-08-08 12:48:54
1
charlesi752
Dosa Tz talime :
kaka mshukulu mungu apo ulipo kaka wengine ata mda wakula atuna mzazi tuna tumikishwa kuanzia 12-12 ukitoka apo kaka upi choka mbaya kaka tunacho kifanya mungu atulinde katika maisha yetu ila kaka mshukulu mungu kwa apo kaka
2026-08-04 03:17:55
2
zaynabkifua419
Zaynab Kifua :
mimi swala ya adhuhur kwa kuwa nakuwa kazini siswaligi ila nalipaga alasir je nipo sahihi
2026-08-08 06:28:38
2
rihana.john3
Rihana John :
ume kosea kipindi cha kwa nza ni maghrib kaka na swala ya 5 ni Sakumi
2026-08-04 04:56:31
1
To see more videos from user @kipanyatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About