Dunia yasasa haitaji imani ya namna hiyo mtanierewa badae
2026-08-03 06:55:15
4
Dee light :
Ni kweli japo kwa upande wangu naamini pia moyo wako kua msafi kuondoa chuki,vinyongo,wivu,hasira,visebengo na vingine vingi moyo ukawa mweupe pee na ukawa ukipata vitu vizuri unakumbuka na wenzio trust me kabla hakijaisha kile cha kwanza mungu analeta cha pili sababu anajua kupitia huyu kuna wengine watapa nikimpa mungu anaachia zaidi mpaka utashangaa madili mengine ata umepataje
2026-08-06 06:11:59
2
PLACID :
wapeee semooo kaka
2026-08-03 01:08:04
2
pius adriano :
asante mwalimu kiongozi
2026-08-02 19:41:05
1
tinaa :
Akili kubwa sana Masudi🙏
2026-08-19 05:29:37
0
ALiM :
kabisa binadamu ameumbwa na papara
2026-08-05 09:44:36
0
BBM :
Facts KP
2026-08-05 18:15:43
0
babusoni :
hiyoo tisheti napata wapi chifuuu
2026-08-11 16:53:07
0
Enock Makoga :
kwenye taifa letu aina ya watu hao wenye hiyo imani wametoweka kabisa
2026-08-04 12:57:59
0
Fatma Tillar :
kabisa maana ridhiki yako ipo ila kwa wenye Iman tu kaka Masoud
2026-08-04 17:54:01
1
2975 :
Ni Elimi tosha kakaangu, tuelimishee
2026-08-08 13:06:38
0
user3361865952294 :
🥰
2026-08-02 18:27:28
0
Assad Tamim :
Mtu mnoma sana masoud kipanya anapiga miguu mingimingi hadi raha
2026-08-04 09:30:39
0
user742919767218 :
Mashallah
2026-08-02 19:34:25
0
Abdulfatah AL-AREIMY :
CHAKO HACHUKUI MTU
2026-08-16 00:01:48
0
vozinha :
😳😳😳
2026-08-02 22:06:39
1
user1107181414947 :
💞💞💞
2026-08-02 17:02:56
1
To see more videos from user @kipanyatv, please go to the Tikwm
homepage.