@busesroadways: 🕊️ TANZIA 🕊️ Kwa masikitiko makubwa, Uongozi wa @isamilo_expres tumepokea taarifa za Ajari iliyotokea DODOMA, maeneo ya Msembeta iliyo peelekea kupoteza ndugu zetu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape familia, ndugu, jamaa na marafiki nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Pumzika kwa amani. 🕊️ @ISAMILO_EXPRES
oooh God thank for saving in this accident
sasa nimeelewa why mtandao uligomq kulipia nauli.
oumzike kwa aman wantanzania wenzanguu
2026-08-02 20:55:21
0
It is🥀🌹🌹lolo bae 🥀 :
Rest in peace 🪦
2026-08-02 20:17:52
0
little chick🌺🥰 :
kila siku naombea wanaosafiri kumbe maombi yangu haskiki🥹🥹🥹
2026-08-02 18:42:50
34
ChiiDede :
siku ya leo sito isahau🙌🙌😭😭😭 mana nimeishuhudia😭😭😭
2026-08-02 19:56:23
38
MIHURI EXPRESS :
Rest in peace #Rip
2026-08-02 22:04:16
0
MANS BOY 🔧🔧🔩 :
poleni😭😭😭
2026-08-02 20:30:00
0
Daniel Mollel :
Poleni San jamani
2026-08-02 17:20:05
0
ʜᴇᴀᴠɪɴʙᴏʏ🪽 :
rest in peace 🕊️
2026-08-02 20:19:45
0
mom3/fneeb :
mwenyewe nimeona alaf nlikua safarin 😭😭😭😭Mungu utulinde na awapunguzie adhabu ya kaburi waliofariki imeniuma sanaaa....
2026-08-03 04:06:50
1
#kevoo💥 :
barabaran ya dar ni high way , magari yamejiachia vibaya , Jana nilikuw na kipikipik changu usiku natoka vikonje nilikoswa mpk nikaamua nipaki pembeni kwanza nikasali kama dk5 za kushukuru Mungu🤣🤣🤣😭
2026-08-02 20:18:10
19
aminasalum661 :
cathe mdogo angu jaman nashindwa mimi 😭😭😭😭
2026-08-02 17:45:35
23
richie154 :
mbn kweny taarifa ya habari wamesema dereva amekamwatwa 😳
2026-08-02 18:35:36
7
Dr Ridhiwan🧑⚕️ :
ila Abiria wake hakuna Aliyekufa si ndio???
2026-08-02 20:04:27
6
tiva :
mungu uwape pumziko la milele 😭
2026-08-02 19:01:11
8
rosety :
yaan ndo kwanza nimepeleka barua ya maombi ya kaz kwenye magar ya msoma half nasikia ajari hadi naogopa jaman 😳😳😳😳😳😳
2026-08-02 19:53:56
3
Mr pure :
daaah kumbe kifo ni halisi
tumrudie mungu
2026-08-02 19:06:20
4
Vibes(KWD) :
poleni sana hila pia hawa wahudumu wanakaa sehem mbaya sana kwenye basii nataman dizaini za mabasi ziangalie pia na usalama wa hawa wahudum now days tunawapoteza wengi sababu ya kusimama pale mbele
2026-08-02 18:59:46
9
bbylonnah❤️ :
Inna lillah waina lillah rajoun🥺
2026-08-02 21:23:25
1
Tatu Yusufu :
mungu tujalie nwsho mwema nafamiliya yangu amiin
2026-08-02 21:27:13
1
Kim_spoiler :
jmn n huzun RIP kwa wote
2026-08-02 20:44:48
1
raqia :
😭😭😭punziken salama 🥹🥹🥹
2026-08-02 18:46:59
2
mtoto wa Singapore 🥰 :
nikiwaz kipenda roho yangu kutwa Barabaran nikion hivi naumia MUNGU akulinde 😔🙏
2026-08-02 18:56:53
11
@josephofficial :
poleni sana na vipi kuhusu wanakwaya wa kwaya ya kinyerezi wanaendeleaje mana wote walikuwepo kwenye gari
2026-08-02 20:26:45
1
Iraq lady❤️ :
daah 🥺🥺
2026-08-02 18:49:59
1
rebecca@ :
duuu wapumzike kwa amani
2026-08-02 18:27:50
2
To see more videos from user @busesroadways, please go to the Tikwm
homepage.