@ntvkenya: Tangu jadi, Mto Yala umekuwa kitovu cha maisha kwa maelfu ya wakazi wa ukanda wa magharibi, Lakini leo, mto huo umegeuka uwanja wa uchimbaji wa dhahabu. Raia wa kigeni wamevamia mto huu kwa mashine kubwa, wakiuchimba na kuuharibu wakidai kuwa wanasaka utajiri uliojificha chini ya maji yake. #HaramuYaDhahabu